Inachukua muda gani kupata cheti cha kifo? Mbona magazetini hawaambatishi cheti cha kifo?Ndio ninaye tena humu jamii forums watu tukiwa tunajipanga tutawaelezaje watoto na mjane tukifanya siri ili tujipange tuweke mambo sawa kwanza ndio tuwapelekee taarifa tunashtukia hilo limesharushwa jamii forums hata cheti cha marehemu hakijatoka
Wametusababishia inconvenience kubwa tu
Kaanzishe forum yako Lumumba kisha uwawekee hayo masharti unayoyataka weweTuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Gazeti gani hilo?Inachukua muda gani kupata cheti cha kifo? Mbona magazetini hawaambatishi cheti cha kifo?
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM bwana mnataka kumiliki hadi vifoTuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Ni sawa lakini hujapewa mamlaka na ndugu wenye msiba kupeleka tangazo chombo cha habari chochote ikiwemo jamii forums
Mimi naitahadharisha jamii forums ambayo ni taasisi iliyosajiliwa sio Wewe uliyejificha kwenye ID fake tatizp likitokea taasisi ya jamii forums ndio itaumia Wewe utakuwa uko unalewa bar tu .Sio lazima upewe mamlaka na ndugu,ukifa ndio utajua!
Tuliza kijambio kocha mchezaji kaingia kama sub.Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Mimi naitahadharisha jamii forums ambayo ni taasisi iliyosajiliwa sio Wewe uliyejificha kwenye ID fake tatizp likitokea taasisi ya jamii forums ndio itaumia Wewe utakuwa uko unalewa bar tu .
Hilo tatizo haliwezi kuisimamisha corona!Mimi naitahadharisha jamii forums ambayo ni taasisi iliyosajiliwa sio Wewe uliyejificha kwenye ID fake tatizp likitokea taasisi ya jamii forums ndio itaumia Wewe utakuwa uko unalewa bar tu .
Maiti haimilikiwi na ndugu.Wamiliki Wa mti aliyefariki in ndugu sio.mpita njia wala CCM
🤣🤣🤣🤣🤣🤣msumari huu mkuu🤣🤣🤣Mwambie ndyungai aache kutangaza madeni ya watu Bungeni
Nani kazushiwa kufa?Uzushi utapungua .Sababu ndugu ndio wanajua
Uwiii🤣🤣🤣🤣dah..sihami TzKaanzishe forum yako Lumumba kisha uwawekee hayo masharti unayoyataka wewe