Matangazo yamezidi, ni kero kwenye vituo vya redio

Ni kweli kabisa redio zetu hazina contents za maana ni blaabla na matangazo full time. Na siku hizi wanachezesha kamari kila saa! Ukitaka news za maana nenda tu kwenye social media. Wanatakiwa kujifunza kwenye redio za wenzetu walioendelea kama BBC n.k. Huko hukuti huu upuuzi wa kwetu. Kituo cha redio kinachezesha kamari.... serious???
 
Hivyo sio vituo vya redio bali ni vijiwe vya kuchezesha kamari......
 
Sikumbuki mara ya mwisho kusikiloza redio ilikuwa mwaka gani!
 

Ni kweli kabisa.......kuna kipindi kama jioni ya leo EFM ni kizuri sana ila matangazo yanakukatisha tamaa ya kusikiliza[emoji2363]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…