Kinachonisikitisha hivi kwa nini hivi sasa you tube haifai kuangalia na watoto, maana hakuna unachoweza kukiangalia kwa amani, najiuliza hata watoto wetu wanajifunza nini hasa.
Yaani unaweza kuwa unasearch kitu cha maana lakini utakayokutana nayo kama huna lengo maalumu unaweza usitimize au usifike kule unakokwenda na hali kadhalika kwenye face book na mitandao mingine hali ni hiyo hiyo matangazo au picha hata kama huna interest nazo lazima zijae
Najiuliza hata viongozi wa dini wanakwepa vipi haya majaribu zamani ilikuwa hadi utafute mwenyewe binafsi nazipongeza nchi kama Australia ambazo zinakwenda kupitisha muswada wa kuzuia watoto wenye umri wa chini ya miaka 16 kuwa na simu au kuperuzi mitandao isiyoeleweka mambo yako wazi sana na hakuna mahali eti hutayaona kama sio mahali tunapoishi basi mitandaoni je tufanyaje au tuishauri serikali ifanye nini kweli hizi zama ni za mwisho