Halow wana jf matani ya kizidi huwa makosa kwa kweli matani sio mazuri ya kizidi kwa sababu humu katika jf wengine huwa wako serious kwa taarifa zao lakini huambulia joks pia wengine hutafuta rafiki huwambulia kuambiwa wagegedaji kwa hiyo tuacheni mara 1 kama sio hivyo tutawakosesha wengine wanacho tafuta ahsante