Matani

umezubaa kama mlenda.
 
Nakumbuka zamani...............................................:violin:
 
Ivuga bwana kila nikikuchekesha unacheka kwa mlio ambao unafanana na sufuria inayodondoka sakafuni!
Alaf wewe Mentor ni mwepesi sana kuwa rafiki yangu lakini tatizo lako nikikushauri kula ugali na mboga unaanza kumalizia kwanza mboga zote alaf unakunywa ugali...
 
Mwanakijiji bana eti anajifanya tajiiiiri wakati hata kandambili ya kuogea bafuni hana!!
 
Papa mopao...si ni wewe ulinunua ball-gums ukapewa ya green ukarudisha ukisema haijaiva!!!
 
Papa mopao...si ni wewe ulinunua ball-gums ukapewa ya green ukarudisha ukisema haijaiva!!!

Aaak kumbeee wewe Mentor!! duh pole sana... Juzi nilikufuma Internet cafe London,ulimuagizia mzungu akuletee paper(maana ulitamka pepa) akakuletea pepper(pilipili)!!
 
Aaahhh, tafadharini bwana mbona aliyepost ana domo kama kapu la sadaka hatusemi,
Pua kama mnusa vikwapa!
 
Aaak kumbeee wewe Mentor!! duh pole sana... Juzi nilikufuma Internet cafe London,ulimuagizia mzungu akuletee paper(maana ulitamka pepa) akakuletea pepper(pilipili)!!

Jicheki kwanza, nyie ndo wale mnaokula toothpicks mkienda kwenye sherehe!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…