Matani

Mentor: TV yenu ni ndogo mpaka watangazaji wa habari wame piga magoti.

Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi, uma na pilipili

wewe ni mjinga mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school

Wewe ni mweusi mpaka mbu ikitaka kukuuma lazima itumie torch






 
Ndo mana Kwenu mnapikaga chapati na vicks kingo ati ndo ziwe chapati menthol!
 
teheee Mentor bana!
Miguu yako 'minene' kama 'toothpick'
 
una tembo card master card wewe au unatania tania wenzio hovyo?!
 
Nyie MAANDAZI naombeni idhini nitolee kitabu haya matani ili niuage ukapera...no umaskini.
 
hahahahahahah!uwiii!hakya mungu nimecheka!Mentol ni kiboko
 
- ____- wewe ni mfupi hadi unaoga kwenye kifuniko cha soda.:smow:
 
Nyie MAANDAZI naombeni idhini nitolee kitabu haya matani ili niuage ukapera...no umaskini.

We kitumbua mzima kweli!
Ndo maana ulilipa nusu ya hela baada ya kula 'halfcake'
 
MENTOR: ati mama yako ni so ugly mpaka wakamove halloween to her birthday ! ;-)
 
We kitumbua mzima kweli!
Ndo maana ulilipa nusu ya hela baada ya kula 'halfcake'

Haya andazi lisilo hamira.. we mjanja, unajisifu umekula hotelini ukakimbia bila kuosha vyombo.
 
Haya andazi lisilo hamira.. we mjanja, unajisifu umekula hotelini ukakimbia bila kuosha vyombo.
na ww ucimuonee Babkey kwanza manzi ako yuko soo cheap kama callbox kiasi kwamba kila mwenye coin anaweza ku-use..!
 
Babkey: Ninyi ni maskini mpaka mbwa wenu ni street-kids!

Kiburudisho: Wewe ni mlafi mpaka ukichemsha maji ya kuoga unajishtukia umeshapika ugali..hahahah!

Kwamex: twende...Umefulia mpaka customer care wakikupigia wanakwambia uhame...

Al-Mende: Wewe ni mnene mpaka class unakaa next na kila mtu!!! (don't feel makmendeish!!!)

TajY: Simu yako ni ndogo mpaka yenyewe hupokeaga MISSED CALLS peke yake...unataka...

Fayoo: Wewe ni mzee mpaka ukipiga chafya, unatoka vumbi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…