Matani

Matani

Aisee nilikuwa naugulia maumivu ya man utd hii post imenifurahisha...endeleeni jamani
 
mentor pua kaa donge la sabuni, domo kubwa chapati hukunji,
 
Nini,nini,! Nywele kama mav*zi ya iddi Amini,... mwone shavu kama nusu kg ya maini,...twende,twende sura kama umenusishwa mavi
 
Nini,nini,! Nywele kama mav*zi ya iddi Amini,... mwone shavu kama nusu kg ya maini,...twende,twende sura kama umenusishwa mavi
 
Aisee nilikuwa naugulia maumivu ya man utd hii post imenifurahisha...endeleeni jamani

Hahaha..ati kwenu mmeendelea mpaka mkichapa watoto wana-vibrate badala ya kulia!!
 
Nyinyi kwenu ni maskini mpaka shilingi mia mbili zenu zina picha ya Nyerere amevaa vesti imeraruka!!!!

Kikojoozi, na nguo kaitia moto na ndani kuna viroboto...........
 
Jaluo nyeupe: Uliambiwa Tunga sentensi ukitumia neno jumamosi ukadakia - "Oduor usiwase huyo jiko hapa ju mamosi watajaa kwa nyumba"

ahahahaaa! Aloo mi hapana taka utani, tapiga biswa ya mbavu wewe mpaka naingia ndani.
 
Mentor nasikia kwenu mna sura mbaya mpaka polisi huwatumia nyie kuwatisha wahalifu ili waseme ukweli. Kweli nyie ni polisi jamii.
 
Back
Top Bottom