Matani

Matani

We ni msahaulifu mpaka wamekubandika picha za wazazi wako mlangoni na majina yao ukiamka ujikumbushie!

nimesikia we ni mjinga sana, wazazi wako wamekufundisha kusali mpaka wamechoka badala yake wakakuandikia sala kwenye karatasi na kuibandika ukutani pembeni ya kitanda chako. Lakini bado husali, unamwambia Mungu soma mwenyewe mi leo nimechoka...Amina.
 
Aisee nilikuwa naugulia maumivu ya man utd hii post imenifurahisha...endeleeni jamani

Muone, Pua ka viganja vya Saa Aleksi Fagason alivyotetemeka siku ya kipigo hevi toka Barca.
 
Muone, Pua ka viganja vya Saa Aleksi Fagason alivyotetemeka siku ya kipigo hevi toka Barca.

Hahaha...Umekonda mpaka ukipma uzito bararabani wale jamaa wanakurudishiaga change!
 
nimesikia we ni mjinga sana, wazazi wako wamekufundisha kusali mpaka wamechoka badala yake wakakuandikia sala kwenye karatasi na kuibandika ukutani pembeni ya kitanda chako. Lakini bado husali, unamwambia Mungu soma mwenyewe mi leo nimechoka...Amina.

Mikono imekomaa, mpaka ukimshika demu wako anakuambia "Acha kunikanyaga"...teh teh teh!
 
Mikono imekomaa, mpaka ukimshika demu wako anakuambia "Acha kunikanyaga"...teh teh teh!

demu wako ana sura mbaya hadi akitaka kutoka huwa anavaa mask usoni ili walau aweze kutazamwa usoni.
 
Oora Mentor, nyindaro kwawa sau nnu babu.
Kutiri mini sha nshare!
 
Cesc: Umekomaa mpaka unamenyaga miwa kama ndizi

Babkey: Una masikio makubwa ulipokuwa mtoto ulikuwa unabebwaga kama kombe!

Jaluo Nyeupe: lol...nyumba yenu imejengwa kwa ugali mpaka wezi wakija wanasema, "Fungueni ama tutarudi na sukuma!"

Kwamex: Wew ni mjinga mpaka ulirepeat kunyonya! muone..

TajY: kwenu ninyi ni wezi mpaka alibaba and the 40 thieves walikujaga field/internship kwenu!
 
Mentor huna shabaha, kazi kuchafua choo cha jirani yenu.
 
Mentor we ni mjinga kiasi kwamba hata chizi anakushinda busara! Twende, twende afu mkeo haeleweki jinsia kirahisi kiasi kwamba hata akienda kujiandikisha hospitali kutibiwa lazima aulizwe jinsia(sex).
 
Back
Top Bottom