Matani

Matani

Hahahahha nimecheka na kukumbuka!
Unakichwa kikubwa mpaka ukilala wichi linakuja kukuinua.

wewe umjinga na msahaulifu hadi wataalam wamekufunga RAM ya 8GB na external hard disk ya 600GB kwenye kichwa chako.
 
Mkuu uzuri wa matani yasifanane na ukweli manake unaweza sababisha mengine humu.

Nilikuwa napita tu jamani................................

ndo maana mkeo ana makalio madogo hadi dr. akachoma sindano kwenye matiti akidhani ndo makalio.
 
duuuhhh huku ndani kuna hatari kwa kweli.......... nimecheka, hadi nimelia sasa ngoja ni nyamaze ....:smile:

na wewe ndo maana umepata ajira ikulu kwa sababu ushuzi wako unanukia kuliko manukato.
 
sasa anayejifanya anajua sana matani arudi tena humu, shenzy type.
 
sasa anayejifanya anajua sana matani arudi tena humu, shenzy type.

Ndiyo maana una vi-ma-ta-ko vidogooo, vimekomaaa mpaka ukiinama mtu anadhani unagonga tano!
 
Ndo maana wanakuita 'Zembe kubwa', una akili fupi mpaka ubongo wako umeingia ndani!

nawee ndo maana ukaitwa bab key na wala hiyo sio key ya funguo, ni kei ndio ni kei. ha ha ha ha haaaa...ntarudi kwa ajili yako.
 
nawee ndo maana ukaitwa bab key na wala hiyo sio key ya funguo, ni kei ndio ni kei. ha ha ha ha haaaa...ntarudi kwa ajili yako.
Pua yako kubwa mpaka ukipiga chafya watu wanajifunika kwa mwamvuli!
 
Pua yako kubwa mpaka ukipiga chafya watu wanajifunika kwa mwamvuli!

mjomba mjomba mjomba sipendi utanii..! oooh! nakwambia sipendi utani...ndo maana babako alitoa ushuzi kwenye sherehe za uhuru mwaka 1961 nyerere akamhamishia kwenye kambi za wakimbizi hadi leo.
 
mjomba mjomba mjomba sipendi utanii..! oooh! nakwambia sipendi utani...ndo maana babako alitoa ushuzi kwenye sherehe za uhuru mwaka 1961 nyerere akamhamishia kwenye kambi za wakimbizi hadi leo.
babako kagoma kununua viti kisa ana majipu kwenye ma ka li o.
 
Back
Top Bottom