zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Wewe ni mwizi mpaka ukishikilia shilingi mia, nyerere anabaki kifua wazi!
na wewe umezidi usahaulifu ndo maana siku ya kujiandikisha vitambulisho vya kura uliulizwa jina lako ukarudi nyumbani kuangalia kwenye kadi la clinic