Matani

Matani

Mentor we ni mjinga kiasi kwamba hata chizi anakushinda busara! Twende, twende afu mkeo haeleweki jinsia kirahisi kiasi kwamba hata akienda kujiandikisha hospitali kutibiwa lazima aulizwe jinsia(sex).
Nilikukuta umezubaa ukiangalia chupa ya orange
juice...eti kisa imeandikwa "concentrate"....
 
Elli acha kunivunja mbavu bana...so, wakuu wote wamo humu...
Kwanza nlikuwa na moja la malaria sugu wacha nimpe ndo nimuombe msamaha: Una kiuno kidogo mpaka ukijifunga belt ya kijani unakaa taxi za Ilala...

basi wacha niendelee na wewe:
Yaani wewe ni mjinga mpaka ulienda boarding sunday school!

hyo ilohighlitiwa bluu duh!
 
Mentor una mdomo mkubwa mpaka huwa unatumia kuhidhani ndani vitu vidogovidogo kama simu na funguo ili usizipoteze.
 
Mentor una mdomo mkubwa mpaka huwa unatumia kuhidhani ndani vitu vidogovidogo kama simu na funguo ili usizipoteze.
\

Jaluo...ndo maana TV yako ni ndogo mpaka ina scroll-bars!
 
mentor ndo maana mkeo alijamba mbele za watu, akafunguliwa mashtaka hadi sasa kesi ipo mahakamani na yupo rumande bila dhamana.
 
nikiwa bombii nyumbii std three kuna jamaa yangu akiitwa Aidan alipenda sana hili tani la pua kubwa kama KIUTULI. wale wa kunyumba wanaelewa kiutuli ni nini. mkia wa kuku akichinjwa halafu akanyonyolewa mkiani pale pana kauvimbe flani ukikatafuna kana mafuta kimtindo basi ki NGONI kinaitwa kiutuli.

una jasho linanuka hadi wa mama wauza vitumbua wanakuja kukuomba japo tone tu ili wakaumulie unga wao badala ya hamira.
 
hahahahahahah!uwiii!hakya mungu nimecheka!Mentol ni kiboko

na wewe unapenda wali ndo maana siku ile ulivyotaka kujiua ulipanda juu ya mti mamako akakusihi ushuke ukakataa, alivyokwambia ushuke umalizie wali wako ndo ujiue ukashuka kwa furaha fasta fasta, hadi mod wakakupiga ban kwa ujinga wako.
 
Back
Top Bottom