Matani

Yaani hashy kwenu ni maskini mpaka nyie hukimbiza lile gari la takataka mkiwa na shopping list!!!!!!
***tafa..tafa..tafa..tafa..tafadhali ndugu yangu usinichukie...

Muone na wewe mentor mbaya kama kifo, twende twende...
 
demu wako ana miguu membamba, mlipoingia kwenye daladala mkiwa mmebanana konda aliona miguu kwa chini, akasema nani kaingia na kuni kwenye gari!

Kwenda uko, na wako amekonda mpaka akipanda daladala konda anadai, "Miwa juu!"
 
FF.. Mititi mikubwa miguu myembamba, kama kontena juu ya chelewa!!
 
<br />
<br />

We unashangaa nini wakati umeachia ushuzi!

hivi ile kesi yako iliyofunguliwa na hakimu mkazi kisutu kwa kosa la kuchafua hali ya hewa eneo la mahakama kwa ushuzi iliisha?
 
hivi ile kesi yako iliyofunguliwa na hakimu mkazi kisutu kwa kosa la kuchafua hali ya hewa eneo la mahakama kwa ushuzi iliisha?
mwone zumbemkuu, umepauka utsema ulilala kwenye majivu!!!!!!!!!!!!!
 
mwone zumbemkuu, umepauka utsema ulilala kwenye majivu!!!!!!!!!!!!!

acha kabisa, pesa zimenizidi mpaka nikaamua nikae chini kutafakari kuwa ntazitumiaje, siwezi kukuonyesha kwetu maana unaweza ukahamisha kijiji kizima ukifikri UN imeingia kutoa misaada, najua kwenu mnashida hadi nywele zinanyonyoka kwenda kutafuta chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…