First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
demu wako ana miguu membamba, mlipoingia kwenye daladala mkiwa mmebanana konda aliona miguu kwa chini, akasema nani kaingia na kuni kwenye gari!Pua kama buno la kozi la mnazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
demu wako ana miguu membamba, mlipoingia kwenye daladala mkiwa mmebanana konda aliona miguu kwa chini, akasema nani kaingia na kuni kwenye gari!Pua kama buno la kozi la mnazi.
Yaani hashy kwenu ni maskini mpaka nyie hukimbiza lile gari la takataka mkiwa na shopping list!!!!!!
***tafa..tafa..tafa..tafa..tafadhali ndugu yangu usinichukie...
una masikio kama yale majamaa ya kwenye move ya avatarKwenda uko, na wako amekonda mpaka akipanda daladala konda anadai, "Miwa juu!"
Haya pita fasta na pua yako kama beberu anamnusa jike.Haya wee,mi napita tu.
twende twende mfupi ka nyundo..Ndo maana umejaa sagamba utadhani ufagio wa shughulini!

twende twende mfupi ka nyundo..

senetor una meno mekundu kama umeng'ata mavi.
we miguu yako miembamba ka spoku za bike.
FF.. Mititi mikubwa miguu myembamba, kama kontena juu ya chelewa!!
Nakuona tokea kuzimu tangu ulipotoroka Milembe hospital ya machizi..dah!na wewe umezidi usahaulifu hadi ulishasahau kuwa umekwisha kufa siku nyingi, looh!

na wewe umezidi usahaulifu hadi ulishasahau kuwa umekwisha kufa siku nyingi, looh!

We unashangaa nini wakati umeachia ushuzi!
mwone zumbemkuu, umepauka utsema ulilala kwenye majivu!!!!!!!!!!!!!hivi ile kesi yako iliyofunguliwa na hakimu mkazi kisutu kwa kosa la kuchafua hali ya hewa eneo la mahakama kwa ushuzi iliisha?
mwone zumbemkuu, umepauka utsema ulilala kwenye majivu!!!!!!!!!!!!!