Matani


Mkubwa nimekukubali !
 

we ni mwehu,hahahaha.mbav zangu
 
ndio maana uliota nimekushikia bastola ulipoamka ukaenda kunichukulia RB police
we ni mbaya mpaka Mungu amegair kutoa toleo lako tena
 
Hahahaab! Ndo maana we mweusi had ukibeba mtoto analala kudhani giza limeingia
 
Ati wewe ni mbishi kama sehemu ya kuzalia ya nungunungu inazaa watoto wenye miba bado haikomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…