Matani

Matani

Senator: una bichwa kubwa mpaka ukiwa raisi noti zitatolewa size A4
First born: Umekonda mpaka ulipozaliwa dokta alikushika kama sigara
Babkey: Mnajifanya walokole mpaka mnapikaga ugali na msalaba
Mchemsho: Umekonda mpaka ukijamba unasikia uchungu

Duh! Wewe jamaa ni kiboko.

Haya mamelo/matani ukiyaweka kwenye collection moja,unaweza kutengeneza pesa.
 
Umekomaaa mpaka ukitema mate yanadunda..... Sura ka ngozi ya goti.... Ndio maana bibi yako gov!.
 
We mentor kwenu mko wengi mpaka mnakunywa chai kwa sprinkler!
Amoeba, very funny!
We una mdomo mkubwa mpaka ukitabasamu mate yanabaki masikioni!
 
Last edited by a moderator:
Loading...
THK DJAYZZ, Hahahaha...ndo maana huna akili mpaka ulikuwa unatune radio yako eti ili upate 'police station'

Haha haha. Anatembelea sarakasi
, mikono

Lawkeys, Umezoea kutembea chini mpaka siku ya kwanza ulinunuliwa viatu ulivijaza mchanga ndani.


mtu wenu una kichwa kikubwa mwili unaonekana ka lolpop
nover, Kichwa kama kona ya njugu!

Umekomaaa mpaka ukitema mate yanadunda..... Sura ka ngozi ya goti.... Ndio maana bibi yako gov!.
Apollo, we ni mweusi hadi ukivaa suti nyeupe kwa mbali unaonekana kama mshumaa uliozimwa!
 
Last edited by a moderator:
we ni mweus hadi ukisimama kwenye kona mtu atadhan pana short akatize.....
 
Meno kama foreni ya magurudumu
Sura kama banda la chips,
Mashavu kama sidiria
 
wee kindogile kwenu msahaulifu hadi wakati wa kula unasimamiwa usipeleke chakula puani badala ya mdomoni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom