Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cy el devon, demu wako ana lips pana mpaka akitokea kwa mbali inaonekana kama amekunja mikono!minjino mikubwa ka, folen ya madumu.
Mtanzanika, hehehe wewe umekonda mpaka ulipozaliwa madokta walijiuliza huu ni ugonjwa gani mtu anazaliwa na magoti manne!??'domo pana chapati hukunji'
marrykate, Kwenu mko wengi mpaka huwa wanakula wachache kama sample ya wengine...Mentor eti unafanana na katuni
ngararumo, wewe ni muoga mpaka gari yako steering wheel iko kati!mentor eti we unatumbo kubwa hadi ukitaka kuoga unapaka sabun ukutan halafu ndo unasugulia hapo tumbo il lipate sabun....
Kwenu mko wengi mpaka mkitoka nje watu wanadhani mmetoka church!!! hahaha....We ni mfupi mpaka ukitembelea wanafunzi wa class one badala ya kusalimia wanasema mojaaaa..
Kaka yako anatabia mbaya ndo mana alipozaliza aligeuka nyuma.
Simu yako ndogo uki2ma meseji ndefu inaenda na simu.
mentor nasikia unatembea na filimbi...bichwa kubwa ukidondoka huwez kunyanyuka mwenyewe mpaka upge filimbi watu wakuokote..tehteh tehJamani nilipokuwa mdogo hii ndo ilikuwa hobby yangu maana kwa umbo langu dogo sikuweza kupigana ila ukinikosea kidogo..nitakupa neno utakaa kimya mwenyewe! Najikumbushia tu...(usinichukie...) Unataka matani.. Nyani ngabu, una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy! twende twende.. Fidel, wewe umekonda mpaka ukisimama kwenye ukuta unakaa kama crack... Mzee mwanakiji demu wako amekonda mpaka akivaa t-shirt ya bluu anafanana na sim card ya tiGO.. Aspirin unamashavu kama mimba ya panya.. Na wewe Tukutuku uso kama shamba la matuta... Unataka unataka.. Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'why bother!'..teh teh.. Zak wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuitisha tochi... PS: On a light touch...
Domowazi, kwenu ni maskini mpaka mnakulaga ugali na stori za nyama!!!!Mentor we ni mshamba had uligongwa na a parked car,,
demu wako n mnene had ukimpeleka kwa cnema house anasit nxt 2 everybody...
Mweuc had unaacha finger prints kweny mkaa....
Una bichwa kubwa had ukiwaza unaskia mwangwi...
mentor eti we unatumbo kubwa hadi ukitaka kuoga unapaka sabun ukutan halafu ndo unasugulia hapo tumbo il lipate sabun....
Erickb52 We ni mfupi mpaka kichwa chako kinanuka miguu!lolMentor hii kali loh
THK DJAYZZ, demu wako ni f*ala..eti anakulaga spaghetti ndo azae mtoto rastafarian!Unaugomvi na mzee wa TOT ?
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Near by Mwanjelwa Mbeya.
Hahahahaaaa Mentor we ni mnene nadi ukivaa Yellow watoto wanasema Ona SCHOOL BUS lileeeErickb52 We ni mfupi mpaka kichwa chako kinanuka miguu!lol
THK DJAYZZ, demu wako ni f*ala..eti anakulaga spaghetti ndo azae mtoto rastafarian!
hahahah kwamba to be continuedtwende twende twende familia yenu wengi mpaka picha yenu ya familia inasema to be continued...