Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa nini!!! kashangae mikumi chui wanavaa bahama bahamaJamani nilipokuwa mdogo hii ndo ilikuwa hobby yangu maana kwa umbo langu dogo sikuweza kupigana ila ukinikosea kidogo..nitakupa neno utakaa kimya mwenyewe!
Najikumbushia tu...(usinichukie...)
Unataka matani..
Nyani Ngabu, una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy! twende twende..
Fidel80, wewe umekonda mpaka ukisimama kwenye ukuta unakaa kama crack...
Mzee Mwanakijiji demu wako amekonda mpaka akivaa t-shirt ya bluu anafanana na sim card ya tiGO..
Asprin unamashavu kama mimba ya panya..
Na wewe TUKUTUKU uso kama shamba la matuta...
Unataka unataka..
Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'why bother!'..teh teh..
Zak wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuomba tochi...
watu8 wewe ni mshamba hadi mara ya kwanza kupanda daladala ulianza kutandika vitambaa kwenye siti.
PS: On a light touch...
kwenu mko wengi mpaka dingi yenu akiingia ndani anasalimia wananchi hamjambo
demu mwenyewe ------ yamenyauka kama kitabu cha ushuru!
Unashangaa nini!!! kashangae mikumi chui wanavaa bahama bahama
kwenu mko wengi mpaka dingi yenu akiingia ndani anasalimia wananchi hamjambo
Mweusi mpaka ukibeba mtoto analala akidhani usiku umeingia
demu mwenyewe ------ yamenyauka kama kitabu cha ushuru!
Mentor una mindevu imekaa vibaya ka ufagio wa kutolea tandabui
Umenikumbusha....TV yenu ni nzee mpaka kwenu mkij.amba watangazaji wa habari wanafunika pua!!!!
twende twende twende, unanuka hadi inzi wanaogopa kukusogeleaMuone kwanza..., sura imekukaza ka unajisadia kimba gumu
twende twende twende, unanuka hadi inzi wanaogopa kukusogelea
hahah! Mchokozi ka mbu wa masika
Teh teh chogo kaa kilele cha mlima meru
Unashangaa nini!!! kashangae mikumi chui wanavaa bahama bahama