ha ha ha i like it ila mbavu ka ukuta wa jiko
daaah..we mentor ni noma kwelikweli
Aiseee huu uzi nimechekaaa....
Hongera, demu wako ni mzuri mpaka yeye huwa anakojoa cocacola!
Wewe ni mjinga hadi umeweka picha ya daktari nyumbani kwako ndio mkiumwa mnatumia ule usemi wa, 'maumivu yakizidi, muone daktari!'
Wewe ni mchoyo mpaka ukitema mate unatemea kwenye mfuko!
Ndo maana wewe ni mweusi hadi nikifungua picha yako - whatsapp display picture - simu inakuwa kama imezimwa!
Ahahahaha eti wewe ni danda hadi ukitupa mawe chini una-miss!!!!
Ndo maana wewe huna shepu hadi kivuli chako kinakukataa!!!
unatisha hadi malaika mtoa roho anaogopa kukuchukua
Hongera, demu wako ni mzuri mpaka yeye huwa anakojoa cocacola!
Wewe ni mjinga hadi umeweka picha ya daktari nyumbani kwako ndio mkiumwa mnatumia ule usemi wa, 'maumivu yakizidi, muone daktari!'
Wewe ni mchoyo mpaka ukitema mate unatemea kwenye mfuko!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]@Ng'anangwa, wewe ni mserious mpaka simu yako haina games!!!
Mwanamke unatumbo kama panya aliyekufa kwa kiporo cha ugali wenye sumu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Khaaa mimi sijui matani nitakutwanga mingumi ufeMwanamke unatumbo kama panya aliyekufa kwa kiporo cha ugali wenye sumu.
Tumbo litakupa nguvu za kunipiga.... juzi nilikuona unatembea nikajua dainosa ulivyokuwa unaliburuta[emoji23] [emoji23]Khaaa mimi sijui matani nitakutwanga mingumi ufe
Wee hebu niache uliniona wapiTumbo litakupa nguvu za kunipiga.... juzi nilikuona unatembea nikajua dainosa ulivyokuwa unaliburuta[emoji23] [emoji23]
Unatoka kazini na kihandbag chako mkononi utafikiri kimenin'ginzwa kwenye kamba kwa vibanioWee hebu niache uliniona wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakyanani...unajuaje labda nini mimbaUnatoka kazini na kihandbag chako mkononi utafikiri kimenin'ginzwa kwenye kamba kwa vibanio
geuka nyuma hapo ulipo utaona jibu lako au usubiri leo utaota.Wazee naombeni mzoefu, nikifanya application ya kazi zoomTZ hivi najuaje kama zimepokelewa wazee, mwenye uzoefu tafahdari, niko juu ya magogo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakyanani...unajuaje labda nini mimba
Subiri miezi tisa iishe ndo utajua kama ni michemsho au mtoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ussingizie mimba wakati wewe haupitwi kila ukionacho halali ya tumbo..sio michemsho
[emoji106] [emoji106]Subiri miezi tisa iishe ndo utajua kama ni michemsho au mtoto
[emoji106] [emoji106]