Matani

-una kidole kimoja lkn mashindano ya kuchambua mchele unaongoza!!!
-mlipika wali kwenu mara ya kwanza ukawa unazunguka nyumba ukiimba "mchele pfumbuka"
-
 
LadyN: nyie kwenu ni washamba mpaka mkipika wali mnaingia kwa ngonjera! au mkipika kuku mnaimba Ndiki..ndikika-paja...lol
 
......Umekomaa mpaka mikono inatumika kama msasa!!!
 
......Umekomaa mpaka mikono inatumika kama msasa!!!

Mwangalie kwanza..we ni maskini mpaka ukitaka kuangalia salio *144# simu inakujibu: 'U must be joking'
 
Mwangalie kwanza..we ni maskini mpaka ukitaka kuangalia salio *144# simu inakujibu: 'U must be joking'

We Mentor king'ang'anizi mpaka umeing'ang'ania hii thread kama kupe wa kigoma
 
mentor umenifurahisah jamani unautani sana inaelekea ulikuwa unapigwa wewe balaa
 
Joyce: wala hakuna wa kunigusa..maana nkishakupa lako watu wakakucheka ukitaka tu kunigusa..wengine wanaingilia!!!
Ndo maana una lips kubwa mpaka badala ya kutumia lip-balm unatumia roll-on!

Aspirin: umekomaa mpaka ukigusa mouse inaandka, "New hardware device detected"..lol!!!!
 
Isije ukawa unaendelea na hizi tabia,maana wabongo amuaminiki sanaaa
 
nyie kwenu mko wengi mpaka mzee akiwa na kikao na familia Anaanza kwa kusema NDUGU WANANCHI!!!!,,,,
 
nyie kwenu mko wengi mpaka mzee akiwa na kikao na familia Anaanza kwa kusema NDUGU WANANCHI!!!!,,,,

Mwangalie, na nyie kwenu mko wengi mpaka instead ya kupewa majina mnatumia number plates!!!
 
Cheki miguu utafikiri mpanti(kibanio cha sufuria) ya kupikia ugali!
Cheki mashavu,utazani mimba ya panya!
 
Nyote humu mmefeli kwenye hili jokes utafikiri mnatafuna kitumbua kumbe mnatafuna mawe! lol!
 
Guys...ndo kusema tumefulia ama?Ongezeni bwana!
 
Tukutuku: Ndo maana wewe ni mnene mpaka ukikalia novel inakua short story!
Papa mopao: Nyie kwenu ni maskini mpaka mnapikaga chapati moja afu mnaitoa photocopy
Ivuga: Na wewe ni mlafi mpaka we huonja maji ya ugali kama yameiva
Lizzy: una macho makubwa mpaka we huitwa eyewitness..lol!!!
 
Haha PEARL wewe sijawahi kukupatia yako:
Wewe umefulia mpaka wewe hushonewa nguo pocketless! teh teh teh...
 
ah ah ah lol,we noma,bichwa kama pangalashaba
Haha PEARL wewe sijawahi kukupatia yako:
Wewe umefulia mpaka wewe hushonewa nguo pocketless! teh teh teh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…