hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Hashy we ni mroho mpaka unaonja maji ya kupikia ugali
aah unataka enhee twende twende umekomaa mpaka nywele zako nyumbani kwenu wanatumia kama steel wire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hashy we ni mroho mpaka unaonja maji ya kupikia ugali
Na wewe Mentor umekomaa mpaka ukitema mate yanadunda kama tenesi.
asprin: Mwangalie kwanza, una machunusi mpaka ukipigwa picha inatokea kama msasa
daughter: (natanguliza samahani)..wewe una mewata kubwa mpaka unavaa bra long-sleeved!!!!lol
hashy: Nyie kwenu ni maskini mpaka mnakula ugali na hadithi za nyama..
gongotamu: Kwenu ni kuchafu mpaka wewe hutoa viatu ukitoka nje..hahahahahahaha (got u..)
afrodenzi: Wewe ni mfupi mpaka voters id card yako ina picha yako ukiwa umesimama...teh teh teh...
the next reader: Wewe ni mbaya mpaka siku za cha mama na baba wewe ulikuwa mbwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
umerudia yangu ila sikuachi ivi ivi..
Nyie kwenu ni wabahili mpaka mnapika chapati upande mmoja!
twende twende...wewe ni mweusi mpaka ukibeba mtoto analala akidhani ni usiku!!!
mwangalie kwanza...wewe ni mchoyo mpaka ukimeza mate unajificha!!
Hahaha...
Na nyie kwenu ni wajinga mpaka mkinunua viatu vinakuwa vimeandikwa; "This way in."
Hahaha..umenikumbusha kwenu na nyumba yenu ndogo mpaka inabidi mtoke nje mkitaka kuchange mind!!!hahahahaha...Twende twende twende! mama wako ni masikini mpaka kashindwa ku afford paying attention! lol! umenikumbusha mbali sana mkuu!:smile-big:
Kweli kazi ipo, yaani katika sifa zote umeamua ku publish kuwa wewe ni professional in matusi, lakini na yenyewe ni fani, may be one day unaweza kuwa Managing Director kwenye kampuni ya matusi.:nono:
Umerudia yangu ila sikuachi ivi ivi..
Nyie kwenu ni wabahili mpaka mnapika chapati upande mmoja!
We Mentor ni mjinga mpaka usiku ukienda lala unabeba ruler ati kupima how long you utalala! twende twende twende!:juggle::juggle: