Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uzuri wa matani yasifanane na ukweli manake unaweza sababisha mengine humu.
Nilikuwa napita tu jamani................................
Ulikuwa unapita kuelekea wapi??Pita haraka nyati jike wewe!
kaka taratibu! cheki kifua ka umemeza kabati....
...Mama yako amekomaa mpaka akinyonyesha anatoa maziwa ya unga!
...Kwenu ni wachungu mpaka mnalamba chujio..eti chai isipotee!
...We ni mwizi mpaka gari yako imebaki bila matairi!
...
Lizzy umejileta haya nakuona tu maneno mingi, wewe ulivyo mbaya mpaka ukijiangalia ktk kioo unascream!!