Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
napita hapa
mkuu samahani naomba nikuulize? iyo avator ni picha yao halisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napita hapa
mimi mwenyewe nilishawai kuwa na mpenzi loh namshukuru mungu kunitoa huko.yaani very iresponsible lakini mimi nilikuwa naona sawa tu as long tunapendana.kumbe nilikuwa najidanganya
na sisi wadada kwanini tunalazimisha mapenzi jamani? kwani ni lazima?
i see, hata wewe kumbe..... ; anyway, kila mtu huwa ana-assume hivyo hivyo hadi pale anapokuja kutendwa, so tusijifanye wajanja; afterall ndege mjanja hunaswa na tundu bovu
wachaga. pesa mbele, ukiishiwa anakukimbia.Kwani matapeli wa mapenzi wa kike hawapo?
we kinachokuuma nn wakilelewa na hao wa dada wenye kazi zao!!afterall huwezi jua dada anapewa nn mpaka anatoa keys