Tatizo hata TCRA ukitoa taarifa za namba zinazo tapeli unakuta tena namba ile ile baada ya wiki inakutumia tena sms ya kukutapeli.Juzi nimetumiwa msg kutoka namba 0733 253 075
Ikisomeka
"Nitumie tu kwenye hii namba ya AirtelMoney (0784084548) Jina ni RICHARD MPATO"
Ni mtu mjinga pekee anayeweza kushawishika na kutuma pesa baada ya kupokea meseji kama hii. Kwa ujinga huo, acha waendelee kupigwa tu mpaka akili zao zikae sawaJamaa bado wanaendelea na huu upuuzi, sometime wanapiga simu wanajifanya wamekosea kutuma hela kwako, wakati mwingine wanatuma haya mameseji.
View attachment 2065787