Matapeli wa TV Zanzibar

Matapeli wa TV Zanzibar

sindano butu

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
518
Reaction score
181
0686056829, 0713645955

News alert. Hizo namba juu nimeziweka ili TCRA iwashughurikie. Wanamtandao wanajifanya wanauza TV huko Zanzibar. Binafsi nilishapigwa hela naomba mwingine yasimkute. Wanafollowers wengi Instagram kujifanya wauzaji TV kumbe ni matapeli. Kwenye Instagram anajiita MAIMUNA electronics.
 
News alert. Hizo namba juu nimeziweka ili tcra iwashughurikie. Wanamtandao wanajifanya wanauza TV huko Zanzibar. Binafsi nilishapigwa hela naomba mwingine yasimkute. Wanafollowers wengi Instagram kujifanya wauzaji TV kumbe nimatapeli.
Instagram wanatumia jina gani
 
Sasa ndugu yangu unaqmbiwa kuna TV lg Smart inch 55 kwa laki6 tuma nusu unaamini kumbe wahuni wapo kariakoo...next time wakikwambia wapo bububu waambie unapitia uone ka watajibu
 
Usikute hata hawapo zenji,ushawahi kuona mzenji anatumia airtel au tigo? Hao watakuwa machogo/wanyamwezi wanaojiita wazenji kuhalalisha/kukuaminisha wapo zanzibar.
Zanzibar wanatumia sana tigo na zantel mkuu
 
Back
Top Bottom