Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hawapo Zenj wapo tu hapo Aggrey kariakoozenj kuna majizi sana
Zanzibar wanatumia sana tigo na zantel mkuu
0686056829, 0713645955
News alert. Hizo namba juu nimeziweka ili TRA iwashughurikie. Wanamtandao wanajifanya wanauza TV huko Zanzibar. Binafsi nilishapigwa hela naomba mwingine yasimkute. Wanafollowers wengi Instagram kujifanya wauzaji TV kumbe ni matapeli. Kwenye Instagram anajiita MAIMUNA electronics.
Au simu ya milion 3 unaambiwa inauzwa laki 8 tena mpyaWe uliskia wapi TV ya inch 50 inauzwa laki 2 na nusu 😁😁😁!!!
Najua ndicho kuvutia
Kipigo kitakatifuAu simu ya milion 3 unaambiwa inauzwa laki 8 tena mpya
Niliwahi kumshtukia mmoja huko huko Zanzibar alikuwa anauza kiatu cha ngozi lebo ya Clark kwa 25,000.00,wakati kiatu kama kile kwa Dar ilikuwa 90,000.00,machale yakanicheza...We uliskia wapi TV ya inch 50 inauzwa laki 2 na nusu 😁😁😁!!!
Najua ndicho kuvutia
Wahuni wale maboya Pro Max tamaa ikikuzidi akili tu umepigwaNiliwahi kumshtukia mmoja huko huko Zanzibar alikuwa anauza kiatu cha ngozi lebo ya Clark kwa 25,000.00,wakati kiatu kama kile kwa Dar ilikuwa 90,000.00,machale yakanicheza...
Na huo ndio ukweli. Wanajiita wazenji au wanasema ofisi zao zipo Zenji, ila wahuni tu wapo Makumbusho au kariakoo na visimu vyao.Usikute hata hawapo zenji,ushawahi kuona mzenji anatumia airtel au tigo? Hao watakuwa machogo/wanyamwezi wanaojiita wazenji kuhalalisha/kukuaminisha wapo zanzibar.