sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
Funguka zaidi mzeeNews alert. Hizo namba juu nimeziweka ili tcra iwashughurikie. Wanamtandao wanajifanya wanauza TV huko Zanzibar. Binafsi nilishapigwa hela naomba mwingine yasimkute. Wanafollowers wengi Instagram kujifanya wauzaji TV kumbe nimatapeli.
Instagram wanatumia jina ganiNews alert. Hizo namba juu nimeziweka ili tcra iwashughurikie. Wanamtandao wanajifanya wanauza TV huko Zanzibar. Binafsi nilishapigwa hela naomba mwingine yasimkute. Wanafollowers wengi Instagram kujifanya wauzaji TV kumbe nimatapeli.
zenj kuna majizi sana
Hii pia ni pointUsikute hata hawapo zenji,ushawahi kuona mzenji anatumia airtel au tigo? Hao watakuwa machogo/wanyamwezi wanaojiita wazenji kuhalalisha/kukuaminisha wapo zanzibar.
Ma michina mbona kwa bei ulotaja yanapatikana hapo kariakoo.Tamaa ndio imekufanya upigwe mzee, Yani TV ya nchi 43 tena Smart unataka kuinunua kwa Laki nne acha tu upigwe mana ngombe hawaishi duniani
Maimuna electronicsInstagram wanatumia jina gani
Zanzibar wanatumia sana tigo na zantel mkuuUsikute hata hawapo zenji,ushawahi kuona mzenji anatumia airtel au tigo? Hao watakuwa machogo/wanyamwezi wanaojiita wazenji kuhalalisha/kukuaminisha wapo zanzibar.