A
Anonymous
Guest
Inawezekana kuna Wafanyakazi wa Tigo wanatoa taarifa za mteja kwa matapeli, nimepigiwa simu na MATAPELI zaidi ya mara 10 halafu wanakutajia kiwango chako kilekile kilichokuwepo kwenye akaunti yako, sasa hiyo inatupa hofu sana sisi wateja tunaomba mtupazie sauti.
Nilipokea kwa nyakati tofauti na kila wakipiga wanataja kiwango kilekile na nishapiga kitengo cha Huduma kwa wateja wananijibu wanalifanyia kazi na walikiri kuwa siyo peke yangu wateja wengi wanalalamika.
Sasa inanipa hofu maana tapeli anajua kiwango chako cha pesa kwenye akaunti yangu ni hatari.