Uliacha au uliachwa?nilipima mara kumi nikajikuta nipo fit,
niliwaacha sita
niliacha baada ya kuona ukimwi hauna dawa,
kwa sasa sina hamu kabisa, napenda sana kaufanya mazoezi, kujichanganya na mashosti maisha yanakwenda au sio
:confused2::confused2:Asante Funzadume kwa kutukumbusha. Ubarikiwe
:mad2::mad2:heheheh JS ulikuwa UMESAHAU Ina maana?:confused2:
:focus:Hujambo dear,nina shida na wewe.Ngoja nikutafute PM tutete.
kuna option tatu,
1. acha kabisa (kama mimi)
2. kuwa na mpenzi mmoja
3. Tumia kondom
chagua inayokufaa kati ya hizo
:confused2::confused2:
:mad2::mad2:
:focus:
nilipima mara kumi nikajikuta nipo fit,
niliwaacha sita
niliacha baada ya kuona ukimwi hauna dawa,
kwa sasa sina hamu kabisa, napenda sana kaufanya mazoezi, kujichanganya na mashosti maisha yanakwenda au sio
Hivi haijapatikana kumbe? Imekula kwangu, ole wangu!
Inasema mimi na wewe tuaminiane. Yaani niwe na wewe tu. Nikienda kwa kina Eliza eti nivae mamipira. Vinginevyo eti nikupige chini, na vikina Eliza pia nivipotezee. Sasa hebu nichagulie kimoja hapo.:smile-big::smile-big:Na wewe hujambo? shkang!Leo umelala wapi? Bila ofutopic maisha yanakuwa hayaendi.
Hivi kwani hii thread inasemaje vile? hebu nikumbushe!!!!
heheheh JS ulikuwa UMESAHAU Ina maana?:confused2:
:ranger::ranger::ranger:Inasema mimi na wewe tuaminiane. Yaani niwe na wewe tu. Nikienda kwa kina Eliza eti nivae mamipira. Vinginevyo eti nikupige chini, na vikina Eliza pia nivipotezee. Sasa hebu nichagulie kimoja hapo.:smile-big::smile-big:
mshikiiiiiiiiiiiii!Ngemanyakueeeee Kaizer............................
mshikiiiiiiiiiiiii!
ulimsimaaaa mshikiiiiiiiiiii!
shameshaaa mshikiiiiiiiiiii
Hapo umeshindwa sema msashaaaa? Au umezaliwa hapo MOI?mi msima kabsa Teamooo
shameshaaaa pia na wewe
Kya wa Ki Mae?:becky:Ngemanyakueeeee Kaizer............................
Fanya hivi.Tutaishi nyumba moja na kulala pamoja lakini.......kama kaka na dada.Hii itakuwa njia rahisi zaidi na dawa nzuri ya hii kitu.Na nadhani hii itatupa muda mzuri zaidi wa kufanya mambo ya maendeleo zaidi kuliko kushughulikia kiwanda cha kuzalisha watoto.Inasema mimi na wewe tuaminiane. Yaani niwe na wewe tu. Nikienda kwa kina Eliza eti nivae mamipira. Vinginevyo eti nikupige chini, na vikina Eliza pia nivipotezee. Sasa hebu nichagulie kimoja hapo.:smile-big::smile-big:
:ranger::ranger::ranger:
Heri yao watawa/masista na mapadre maana wamekingiwa gonjwa hilo.........
Ngemanyakueeeee Kaizer............................