nitakuwa red-apple kwenye valuuHomeboy vp tena chai asubuhi yote hii hujafunga wewe?....nisikuone kwenye futari jioni!!
Kwani UKIMWI unaambikizwa kwa ngono peke yake? Hivi hii karne ya ngapi wajameni?Mmmh!!! ZD wamekingiwa na nani? mbona me nimeshuhudia mapadre kadhaa wamekufa kwa ngoma? nafikiri waliokingiwa ni wale wanaoishi kwa uaminifu na utakatifu mkuu, haijalishi ni muumini,mpagani,mchungaji,padre au hata sister. according 2me:confused2:
Fanya hivi.Tutaishi nyumba moja na kulala pamoja lakini.......kama kaka na dada.Hii itakuwa njia rahisi zaidi na dawa nzuri ya hii kitu.Na nadhani hii itatupa muda mzuri zaidi wa kufanya mambo ya maendeleo zaidi kuliko kushughulikia kiwanda cha kuzalisha watoto.
Tuanze lini?:smile-big::smile-big:
hivi JF ni mtandao wa Kibosho Umbwe (wachaga)?
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Fanya hivi.Tutaishi nyumba moja na kulala pamoja lakini.......kama kaka na dada.Hii itakuwa njia rahisi zaidi na dawa nzuri ya hii kitu.Na nadhani hii itatupa muda mzuri zaidi wa kufanya mambo ya maendeleo zaidi kuliko kushughulikia kiwanda cha kuzalisha watoto.
nasikia mademu wa kichaga ni magogo kitandani? ila sina uhakika
...i think you are going too far!i am fasting my dear,PLEASEnasikia mademu wa kichaga ni magogo kitandani? ila sina uhakika
Kwani UKIMWI unaambikizwa kwa ngono peke yake? Hivi hii karne ya ngapi wajameni?
Yaani hapo umenitukania mama yangu, mke wangu na mabinti zangu. Hakuna anayeweza kuwatukana hawa watu nikamuacha hivi hivi. Tafadhali futa kauli yako before I loose my temper....... am counting 5..............4................3............nasikia mademu wa kichaga ni magogo kitandani? ila sina uhakika
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:shemeji hujambo lakini? afadhali sasa hivi unaonekana onekana duh
nasikia mademu wa kichaga ni magogo kitandani? ila sina uhakika
shemeji hujambo lakini? afadhali sasa hivi unaonekana onekana duh
:confused2::confused2::confused2::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Yaani hapo umenitukania mama yangu, mke wangu na mabinti zangu. Hakuna anayeweza kuwatukana hawa watu nikamuacha hivi hivi. Tafadhali futa kauli yako before I loose my temper....... am counting 5..............4................3............
shemeji hujambo lakini? afadhali sasa hivi unaonekana onekana duh
Nimeliambia hilo lijitu liwaombe radhi. Patakuwa hapatoshi hapa muda si mrefu.wewe nawe ishu zako nyingi ni za kuckia tu, chache sana ume prove.....hebu mtupumzishe jaamni.