:confused2::confused2::confused2:
Sijambo shemeji.Nimerudi rasmi kikazi baada ya kutoweka kama Carmel huko kwenye shughuli za uchaguzi na kura za maoni.
Lakini kuna mtu ananiboa eti wanawake wa kichaga........Na mie nina "uraia" wa Rombo wa kununua.
Huyu FUNZADUME atutake Radhi haraka.kabla hatujaandamana kwa invizibo.
nasikia mademu wa kichaga ni magogo kitandani? ila sina uhakika
haiwezekani tumpigieeeee''''ooooooooooooooooooooooooooooh....ona sasa..zimefutika message......zimefutika sms........:welcome:
Asee huyu fd bado hajawataka radhi dada zetu na sisi pia concurrently?
Funzadume, hebu tafuta mmoja wao halafu uje utupe eksipiriensi hapa maana kila siku mwatusema usilete habari za kusikia. :confused2::confused2::confused2:
Funzadume, hebu tafuta mmoja wao halafu uje utupe eksipiriensi hapa maana kila siku mwatusema usilete habari za kusikia. :confused2::confused2::confused2:
Heri yao watawa/masista na mapadre maana wamekingiwa gonjwa hilo.........
zama za kale za mawe!....yaani watu bado wapo zama za kale kabisa kabisa....
Watu wengine bado wako enzi za TANU.na karne hii utasema kuna cha uchaga na uzaramo/umakonde? watu wana hila sana...cku hizi acyejua haya mambo nani?
Sijambo shemeji.Nimerudi rasmi kikazi baada ya kutoweka kama Carmel huko kwenye shughuli za uchaguzi na kura za maoni.
Lakini kuna mtu ananiboa eti wanawake wa kichaga........Na mie nina "uraia" wa Rombo wa kununua.
Huyu FUNZADUME atutake Radhi haraka.kabla hatujaandamana kwa invizibo.
ha ha ha ha nafikiri huwajui vizuri watajwa hapo juu infact hao si ajabu wanabanjuana kuliko hata wana ndoa
nilikuwa nafanya research kuna wachaga wangapi humu ndani kwa kuwachokoza na kuona wanavyo-reactwewe nawe ishu zako nyingi ni za kuckia tu, chache sana ume prove.....hebu mtupumzishe jaamni.
Funzadume umepotea wapi tena tunakusubiri kaka...........................
Justifications please!Usije sababisha tukaacha kwenda kusali wenzio.
Watu wengine bado wako enzi za TANU.
The Following User Says Thank You to Zion Daughter For This Useful Post:
Asprin (Today)
nilikuwa nafanya research kuna wachaga wangapi humu ndani kwa kuwachokoza na kuona wanavyo-react
kumbe nawe ni wale wale kina AIKAMBE
prisaizili
Usiache kwenda kusali nenda kasli mpaka upate justification ya what am saying