hata masikini huzidiana hii ni dhana ya kizungu inaitwa ‘poorest of the poor’ , au paupers!!!
Kenya ni nchi masikini sana ni sawa ikiwekwa LOW INCOME COUNTRY , nchi yenye mbwembwe sana, ni nchi ya jiji moja tu linaitwa Nairobi resources za nchi nzima zinawekwa hapo kupumbaza wageni, ambao ni wengi mno wanaorubuniwa na Suti kila mtu na English speaking ya kila mtu hadi mama ntilie!
Kenya ni nchi yenye ukame sana na sehemu kubwa ya ardhi yake hailimiki, nchi inategemea sana chakula kutoka bongo na pesa ya kigeni kutoka kwa mashirika ya kigeni yenye makao makuu mjini Nairobi kwa Africa Mashariki kutokana na hali ya hewa ya baridi ivutiayo wazungu kuishi humo.
Kenya ni nchi yenye mashirika mengi ya kijamii na vituo vya watoto yatima vinavyotegemea donations kutoka nje. vijana wengi wamejipatia ajira katika sector hii ambayo pia inaingiza pesa nyingi ya kigeni nchini Kenya! wakenya ni mabingwa wa kuandika very appealing funding proposals!!
Kenya ni nchi inayotegemea sana uchumi utokanao na pesa zitumwazo kwa ndugu kutoka kwa jamaa zao waishio nje hasa Marekani na kidogo ulaya.
Kenya ni nchi yenye bahati mbaya sana ya kushambuliwa mara kwa mara na wababe wa vita Al Shabab kutokana kuwa na idadi kubwa ya askari wao wanaolinda amani Somalia
Guest houses Nairobi hasa mtaa wa River Road zamani niliona wanawekwa makahaba ndani na mgeni anaulizwa kama anahitaji huduma na pia baadhi ya hotel unaulizwa kama unaweza kuchangia room na mtu usiemjua ili mlipie usingizi nusu kwa nusu,
Kenya kuna tycoons wachache sana wanaomiliki utajiri mkubwa na ardhi kubwa hata wilaya nzima na asilimia tisini ya raia wake ni maskini wa kutupwa, wanaita ‘willing to sell and willing to buy’ yaani maskini wanauza ardhi na wanadidimia matajiri wanapaa mawinguni!!
Kenya hasa Nairobi hujui nani mfanyakazi nani jobless wote wana suti kali! nimeenda Kenya more than 50 times i talk from experience,
Kenya huwaambia watalii kabla hawajaja kuwa Kilimanjaro na Olduvai Gorge ziko Kenya watalii wanashukia Kenya wanalala mahotelini na kushangazwa kesho yake au baada ya siku kadhaa washaingiza pesa wanapandishwa Coasters kuletwa Tanzania kupanda mlima Kilimanjaro!!
Kenya huwaambia watalii waje kuona Nyumbu kwa maelfu wako Masai Mara national park kumbe Nyumbu hukaa miezi kumi Serengeti na miezi miwili tu ndio hukaa Masai Mara na sio wote wanaokwenda huko wengi hubaki Serengeti ndio home kwao!!!
Kenya siku hizi kila mgonjwa wa Corona husema ametoka Tanzania, yaani bongo ni kiwanda cha kuzalisha Coronavirus!!wao hawataki ijulikane wagonjwa huanza kuumwa kwao!!
Nairobi ukiomba mtu akuelekeze mahali akisikia kiswahili cha bongo anakupoteza unaenda mtaa mwingine wa mbali mno! huko nako unapotezwa kama huna mwenyeji unaweza kuzungushwa siku nzima ni watu wa ajabu mno kutoka Mars wanachukia sana wabongo kimya kimya! wa kuuliza njia ni askari wasimamao barabarani Kenya wanaiga mkoloni ‘standing army’
taxi driver Nairobi kama uko mfano Msimbazi unamuomba akupeleke Ilala kama huujui mji anaenda kuzungukia Mwenge then ubungo kisha Buguruni then Ilala ili ulipe maradufu! mf kutoka Kenyata Road to Tom Mboya ni karibu ataenda kuzungukia Mombasa road!!
Kenya ni nchi ya pili duniani kwa kuomba na kupokea rushwa, haitaendelea kamwe! viongozi wanashindana kuiba tu tangu uhuru hadi mwisho wa dunia! Wakenya hudhani kila mgeni aendae kwao ni tajiri na wanaokuhudumia au mlinzi wa hotel huitwa ‘soldier’ hukwambia ‘ndugu hujabakiza chenji kidogo nipate chai!’
Kenya katika siasa hakuna adui wala rafiki unachoangalia uungane na nani mwenye wapigakura wengi ili ushinde cheo au kiti bila kujali yuko upinzani au serikalini , siasa ni calculations!! na ulieungana nae akipoteza ushawishi unampiga chini! wale wanasiasa wenye ushawishi mkubwa akikosea hesabu wanampoteza!
Kenya ni nchi yenye ukabila uliopitiliza kati ya Kikuyu na Jaluo! Mgombea wa nafasi za kisiasa hutegemea zaidi kuchaguliwa na watu wa kabila lake zaidi ya wengine! Wananchi wa mikoani ni masikini wa kutupwa siku moja nikiwa njiani kwenda Kampala niliona watoto zaidi ya 50 wote wako peku wanaenda skuli mjini Kisumu!!
Mkenya akiajiriwa bongo mwezi mmoja atajifunza kazi mnayofanya na ataiboresha na kujifanya anajua kuzidi nyie na mtamuamini sana kwa English yake ya is and was!! Kenya ni nchi yenye waalimu wengi wa Kiingereza bongo ambao yasemekana wengi hawana vibali vya kuishi wala kufanyia kazi, ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la Sindano kuliko wakenya kuruhusu mbongo afanye kazi Kenya!!
Kenya ni nchi yasemekana imepiga hatua kubwa katika demokrasia ya siasa za vyama vingi, ina katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi ikiruhusu matokeo ya uchaguzi kupingwa mahakamani na huweza kutenguliwa pia!
Kenya itaachwa mbali sana kiuchumi na bongo iwapo Rais wetu ambae ni imara sana akimaliza muda wake atapokewa kijiti na mzalendo mwingine kama yupo!!! Kenya haina ubavu wa kuizidi bongo kiuchumi tukiacha wizi, uvivu na ufisadi! They have been put in the place they deserve, LOW INCOME COUNTRY! but for us nadhani wamekosea they need to review ASAP!