Bahati mbaya jamii za kileo wanamtizamo wa kuangalia vitu walivyo navyo kama chanzo cha furaha,Hii ni mtizamo potofu kwa sababu siku zote kuna watu ambao wako mbali kwa mafanikio kuliko wewe,Wana magari, majumba,wana Elimu nk..hivi ni baadhi tu ya mahitaji ya watu, Lakini ukishindwa kuutambua umuhimu wako utaishia kuviwaza na kupata msongo wa mawazo ukaifikiria dunia kwa mtizamo mwinginekabisa.