Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Utegemezi ni mbaya kuliko haya dearest, wenyewe unaweza ukampelea mtu kufanya mambo ambayo hapendi wala hakuwahi kufikiria, kubaki kwenye mahusiano/mtu asiemtendea haki ili tu asipoteze hicho anachotegemea (fedha, hisia, fikra n.k)
ndo maana nikasema tunahitaji kutokuwa na utegemezi kuanzia kwenye akili zetu...manake kama ukikuta kile ulichotarajia hakipo,then kama unajiamini na una utulivu wa kifikikra nawe utafanya kila kilicho halali na kinachokubalika mbele ya mwenzi wako na Mungu ili uweze kuyafanya maisha bora....lakini ukiona huwezi ndo maana hata wengine wanaishia kujiuza na vitu vingine vibaya..