Utegemezi ni mbaya kuliko haya dearest, wenyewe unaweza ukampelea mtu kufanya mambo ambayo hapendi wala hakuwahi kufikiria, kubaki kwenye mahusiano/mtu asiemtendea haki ili tu asipoteze hicho anachotegemea (fedha, hisia, fikra n.k)
Kwahiyo mnabeba tu? Mnabahatisha kama mchezo wa kamari ehhhh? Mtakoma.
Kwahiyo mnabeba tu? Mnabahatisha kama mchezo wa kamari ehhhh? Mtakoma.
mimi kuna kitu ambacho wanawake wanacho ambacho kinanifanya
niwe pessimistic na wanawake saana
naacho ni kuwa 'emotional....na maamuzi'
hasa 'revenge tendencies'
na kutaka 'ku replace their bad feelings so fast' kiasi
akiwepo mtu pembeni wa ku 'trigger tu' hizo feelings baasi.....
Nimekusoma dearest. . .ndo maana nikasema tunahitaji kutokuwa na utegemezi kuanzia kwenye akili zetu...manake kama ukikuta kile ulichotarajia hakipo,then kama unajiamini na una utulivu wa kifikikra nawe utafanya kila kilicho halali na kinachokubalika mbele ya mwenzi wako na Mungu ili uweze kuyafanya maisha bora....lakini ukiona huwezi ndo maana hata wengine wanaishia kujiuza na vitu vingine vibaya..
Kaaazi kweli kweli.mie bwana naona women shuls just have the simple expectations kama zamani...get married, have kids, kupika, kudeki na kumridhisha mwanaume....hizi kero zingine zisingekuwepo kabisa
Kwahiyo mnabeba tu? Mnabahatisha kama mchezo wa kamari ehhhh? Mtakoma.
Naomba unieleweshe. . .
Na usisahau kwamba "kufanya usaili" nimetumia kama kiwakilishi cha umsome/umwelewe/umdadisi ili kujua yeye ni kile unachotaka au la na sio umshikie karatasi iliyojaa maswali.
Aisee. . .sasa ukipenda utachagua saa ngapi! Unless umewahi kupata majeraha out of love,so unaangalia next time,type ya spouse wako iwe vipi..
Nimekusoma dearest. . .
Ila unajua kwamba kuna watu sio tegemezi ila wanaishi wakiamini wao wanatakiwa kupewa/pokea tu na sio kutoa? Mtu kama huyu hawezi kusimama aseme ngoja sasa nimsaidie mwenzangu tuondokane na matatizo tuliyonayo. Wao wanataka kupokea tu iwe kifedha, kihisia bila kutoa.
Aisee. . .
Kwahiyo hata hamna kujulishana yale ambayo yanaweza yakawa magumu kukubalika kwa upande wa pili? Hongereni msio na kazi.
Achan na hivyo vigezo ambavyo wengi wanakoroga, hapa naongelea kumfahamu. Ujue kama malengo yake na yako yataweza kufikiwa pamoja, ujue kama matarajio yake unaweza ukayafikia, ujue kama fikra zake zitawezana na zako, ujue kama tabia na mapungufu yake utaweza kuyavumilia. Penda ukiwa umefumba macho hapo kama hujarudi unalia.siku hizi huenda inawezekana ukawa na qualities kicwani mwako za umtakaye.. Na unapoona propositions unaziattend zote kuangalia kama zina meet quality zako.. Zamani mtu anampenda mtu wala hachaguichagui.. Awe na kazi asiwe nayo,elimu ndogo au asiwe nayo kabisa,etc. Sijui unapata picha Lizzy..
mimi kuna kitu ambacho wanawake wanacho ambacho kinanifanya
niwe pessimistic na wanawake saana
naacho ni kuwa 'emotional....na maamuzi'
hasa 'revenge tendencies'
na kutaka 'ku replace their bad feelings so fast' kiasi
akiwepo mtu pembeni wa ku 'trigger tu' hizo feelings baasi.....
Ndo hivyo dearest....tumetofautiana mitazamo na matarajio....japo kuna wenzi wengine wanaharibu wenzao.....unamzoesha tu mpaka analemaa tu.
Achan na hivyo vigezo ambavyo wengi wanakoroga, hapa naongelea kumfahamu. Ujue kama malengo yake na yako yataweza kufikiwa pamoja, ujue kama matarajio yake unaweza ukayafikia, ujue kama fikra zake zitawezana na zako, ujue kama tabia na mapungufu yake utaweza kuyavumilia. Penda ukiwa umefumba macho hapo kama hujarudi unalia.
Dearest wewe na akili zako/tabia yako ya kujitegemea/uelewa wako/ujanja wako kuna mtu anaweza akakulemaza? Kama jibu ni hapana basi wakulaumiwa ni anaelemaa na sio anaemrahisishia maisha.
Hhhhmm. . . inawezekana.okay hapo nimekuelewa.. Naomba niongezee tu kwamba... Kwa research yangu isiyokuwa na takwimu rasmi.. Mwanamke na mwanaume ambao waliachana na wenzi wao hasa waliokuwa wa kudumu,kisha wakakutana wao kwa wao.. Zoezi la kupima matarajio ya mwenza na namna ya kuyavumilia linakuwa jepesi sana,na mara nyigi, inakuwa happy couple..