Dearest, ninajitegemea tu vile inabidi na nachukia kuomba....ila kusema ukweli nikapata mtu tu wa kunipa mahitaji yangu na kunisomeshea vile vitoto vyangu, kazi kubwa itakuwa usafi,upishi na kwenda gym....sipendi shida kabisaa na kuchoka choka!!
Hahahah. . . raha muhimu dearest, hamna anaependa shida. Ila siku yakitokea ya kutokea siutasimama umsaidie mwenzio?
Hhhhmm. . . inawezekana.
Kuna watu wasio na shukrani, hata wakipata mtu mzuri baada ya kunyanyasika sana bado wanakua viguu na njia , maneno kila saa.
Now that's what i'm talking about dearest. He is blessed he who will have you for a wife.
Sure thing dearest. AMEN to that.
Alafu dearest being stubborn is not a problem unless you MAKE IT a problem.
Hehehehe habari ndio hiyo. Mwanaume ni usukani na mwanamke ndie anaeuendesha. . Lolz
Absolutely not. . . Kama usukani ulikua umelegea je?
Karibu dearest. . .
Naweza leta thread kwa maelezo zaidi ukiniruhusu.
Thread kuhusu mwanamke kuwa stubborn?? Utusaidie jinsi ya kuondokana nao...!
please go ahead dearest,i got no problem with anything your smart mind decides to write.....!
Kama atakua anakagua kila saa NDIO, tatizo ni muda sasa.
Tatizo ni kwamba shughuli ni nyingi, huwezi kumlinda mwenzako masaa 24.so tatizo ni muda? Mfano mmoja wanaume huwa tunasema,laiti wanawake wangekuwa wanaume kwa angalau wiki moja,mahusiano yasingekuwa na migogoro sugu haata kidogo.
Hahahaha usinivimbishe kichwa dearest.
Stubborness and other things that are percieved negatively while they really don't have to be. I hope you will like it.