Matatizo ambayo hata uwape ccm miaka elfu hawatayatatua kamwe!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Rushwa hasa rushwa kubwakubwa na rushwa za barabarani.
Sababu zinawanufaisha wafadhili wa chama na zinafanya kazi kama malipo au fadhila kwa vyombo kuwatuliza ili waendelee kukibeba chama.

Jambo lingine ni kuacha kutoa elimu mbovu inayozalisha manamba wachuuzi na kila aina ya watu wasio na uwezo wa kuzalisha.

Na hii ni kwa kuwa maono yao yote yameishia hapo kwa hiyo utawasikia kila siku wapo kusifia elimu.

Na kwa sababu hizi nilizozitaja ni ngumu sana kufikia mageuzi na mapinduzi ya kweli ya kiuchumi.

Wataishia tu kusifiana ujinga huku taifa likizidi kutumbukia shimoni likiwa katikati ya dimbwi la fursa
 
Rushwa za barabarani hizo hazina shida mkuu unategemea mshahara wa laki4 trafiki ajengee nyumba? Nenda maofisini kuchukua hata cheti cha kuzaliwa uone wanavyokuchomesha mahindi mara nenda chumba fulani mara rudi umekosea mara muda umeisha njoo jumatatu ni kichefuchefu
 
Rushwa ni sumu
Tumelazimishwa kukubali kutoa hata kama ni haki yako utaambiwa toa chochote
 
Rushwa hasa rushwa kubwakubwa na rushwa za barabarani.
Sababu zinawanufaisha wafadhili wa chama na zinafanya kazi kama malipo au fadhila kwa vyombo kuwatuliza ili waendelee kukibeba chama.

Jambo lingine ni kuacha kutoa elimu mbovu inayozalisha manamba wachuuzi na kila aina ya watu wasio na uwezo wa kuzalisha.

Na hii ni kwa kuwa maono yao yote yameishia hapo kwa hiyo utawasikia kila siku wapo kusifia elimu.

Na kwa sababu hizi nilizozitaja ni ngumu sana kufikia mageuzi na mapinduzi ya kweli ya kiuchumi.

Wataishia tu kusifiana ujinga huku taifa likizidi kutumbukia shimoni likiwa katikati ya dimbwi la fursa
ok.🐒
 
Back
Top Bottom