azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Mimi ni kijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra).
Kwa hiyo huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
Tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka, kwa hiyo naomba ushauri nifanye nini, please usicomment kihuni.