Matatizo baada ya kuoa

Matatizo baada ya kuoa

azzurre

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
107
Reaction score
96
Mimi ni kijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra).

Kwa hiyo huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".

Tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka, kwa hiyo naomba ushauri nifanye nini, please usicomment kihuni.
 
Unadhani hao uliokuwa unawachezea wamefurahi wewe kuoa?wameshakutengeneza
Mwanamke nilie fanya nae mapenzi nimmoja tu, tulikutana baada ya kuwa nimesha peleka posa na nilimueleza kwani yeye ndo alikuwa ananishawishi lakini anajua mpaka tarehe yangu ya kuoa na mpaka ivi sasa tunamawasiliano mazuri.

Na nilipoona nimekaa muda mrefu sijaweza kufanya nikamuhihitaji akaja kwangu nikafanya nae ila nilipunguwa sana uwezo mpaka na kamueleza hilo tatizo na akanishauri nitafute dawa.
 
Yani kwa akili yako ukaona huyo kahaba anaweza kukupa ushauri wa tatizo lako kwa mkeo?
 
muulize huyo mwanamke mwingine alikufanya nini? me nilisikia huwaa wanachukua eti maniii ya mwanaume wanapeleka kwa waganga wanakufunga usiweze kwa mkeo ila me huwa siamini sana mambo ya kishirikina..... endelea kufanya maombi tu itasimama peke yake....
 
mimi nikijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra) kwa io huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka
kwa io naomba ushauri nifanye nini,
please usicomment kihuni

dua si kwa ajili ya kutoa pepo bali ni kwa ajili ya kutaka baraka zaidi. Unahitaji kuombewa ili kutoa hilo jini. Lakini kuna dini fulani inadai kuna majini mazuri na mabaya......labda ucheck inawezekano hilo ni jini jema AKA - MUME MWENZAKO if you belong to that religion
 
muangalie kichwani huwa anaweka sindano ktk nywele hususani wakatiwa...?
 
Punguza papara , tuliza akiri
 
lengo la huyo mwanamke mwingine ni kuja kukutenganisha na mkeo na ukijathubutu ku do nae siku za mbeleni baba duh ! Hiyo ndo itakua kwa heri ya kuonana kwa mkeo
pray hard it is a big temptation to touch
 
muulize huyo mwanamke mwingine alikufanya nini? me nilisikia huwaa wanachukua eti maniii ya mwanaume wanapeleka kwa waganga wanakufunga usiweze kwa mkeo ila me huwa siamini sana mambo ya kishirikina..... endelea kufanya maombi tu itasimama peke yake....

Hapo hamna cha maombi, ni suala mtambuka tafuta nyanya chungu(ngogwe) na chemsha bila kuzimenya halafu kunywa na ule hio ndio dawa pekee. anayekuambia fanya maombi labda kama una jini Mahaba.
 
St.Apolinary me nilijua ni dawa kwa wanawake tu kumbe hata kwa wanaume basi afanye ale asinye umbuka zaidi....
 
Unadhani hao uliokuwa unawachezea wamefurahi wewe kuoa?wameshakutengeneza

Umenikumbusha kisanga, mwanaume ukijisahau tu, wanachukua spe.m kwenye kitambaa cheupe................... matokeo yake ndiyo tatizo ta ndugu yetu!
 
mimi nikijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra) kwa io huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka
kwa io naomba ushauri nifanye nini,
please usicomment kihuni

samahani bro,ulishawahi kuwa mwanachama wa chaputa au cwpt?
 
Mkuu unajua kujifariji, eti mkeo ni bikra...hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahh!!!!!!!. teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh , uuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Ok, sio mbaya lakini inawezekana machine yako imeloose mkuu maana ulikuwa unaitumia sana, umewahi kuona wapi used spare ikawekwa kwenye mashine mpya ?. Katafute used wenzako
 
Heee vipi tena mkuu?hii sio sehemu ya kumdhihaki mtu!!
 
Mkuu nenda phamarcy,kanunue KY jelly uwe unajipaka kabla hujamwingilia mkeo...itasaidia uume kupenetrate kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom