PostGE2025 Matatizo hayatoondoshwa kwa Samia pekee kuachia madaraka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya.

Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure.

Mabadiliko yanayopigiwa kelele na maandamano na mbinu zote za haki zinazo buniwa ni lazima ziing'oe CCM madarakani sio kinyume na hapo.

CCM ikifanya uhuni wa kumtoa mbuzi wa kafara Samia kwa faida ya chama chao kamwe tusikubali huu uhuni njia pekee ni serikali ya CCM kung'olewa madarakani hakuna option nyingine bora tofauti na hii katika kutibu utitiri wa shida hapa nchini.

D9
 
Mti unapoanguka unaenda chini na matawi yake kijana, na hata vikibaki vipande au machipukizi yake yanakua mapya kabisa! Akianguka watakaobaki watakua na heshima sana na wataikana sisiemu sana tu trust me. Utakuwa mwanzo mpya kbs na ya kale yatafutika!
 
Futa huu ujinga.

Alikufa Magufuli Samia kaingia na usanii wa kuisafisha CCM ya Magufuli dhidi ya maovu yake japo naye alikuwa katika hiyo hiyo CCM ila naye kageuka monster kuliko huyo Magufuli.

Bila CCM kuanguka yote jua hakuna jipya na la maana lililo fanyika.
 
Mbona scenario tofauti kabisa? Jielimishe kwanza utajua maana yake! Magufuli alichomoka peke yake na lichama halikutikisika hata chembe kimsingi alikuwa threat na walimtoa asitingishe chama lao, hii ya mama yao itakula mfumo mzima, kuanzia mama, watoto, mkwe, machawa, mshauri mkuu wa msoga na familia yake, wakuu wa vyombo na wadogo zao wote! Hili anguko haliwezi kuacha chembe ya ugiligili salama na itakuwa mwisho wa dharau, na kiburi na mwanzo wa kuheshimiana na kuheshimisha damu za vijana zilizomwagika na kuweka signature ndani ya nchi!
 
Excellent. Kiuhalisia, mabadiliko ya kweli yatatokea pale tu dhana nzima ya chama dola (state party) itakapofutiliwa mbali. Bila hivyo, hakuna cha maana kitakachokuwa kimefanyika. Samia na madhalimu wengine wote waliotokea huko nyuma ni matokeo tu (consequences).

Wahenga walisema vyema sana: angalia ulipojikwaa; usisumbuke sana na ulipoangukia.
 
Yani apelekwe ICC na chawa wake kutabaki na huo mfumo dola tena? Uhuru na Ruto baada ya ile beeping kuna mfumo Kanu ulibaki tena? Hebu tazama issue kwa muktadha wake kamili mkuu
 
Sahihi kabisa...

Kuna chama cha siasa ni kama muhimili wa 4 wa hii nchi, tatizo ndio limeanzia hapo.
 
Hivi sasa CCM inamiliki mihimili yote ya dola na serikali. Inaamrisha mambo ya kufanyika ndani ya bunge, mahakama, majeshi yote, tume ya uchaguzi na taasisi zote za dola za udhibiti na uwezeshaji.

Samia na genge lake sio kundi pekee linalomiliki na kutaka kuendelea kumiliki mfumo huo kupitia CCM. Wako wengi tu (bara na visiwani) wanaosubiri kwa hamu sana Samia aanguke au aondoke ili wao wajimilikishe CCM na vyote inavyomiliki. Tena wengine wana roho mbaya zaidi na ni waovu kweli kweli.

Kuondoka kwa Samia na genge lake pekee hakutoi guarantee kwamba CCM itasambaratika na kupokwa umiliki wa dola kama ilivyokuwa kwa KANU. Hivyo CCM ikibaki kama ilivyo, itapata warithi na mchezo wa Rais kuwa na nguvu za ki-mungu (imperial presidency) utaendelea kama kawa. Na vilio havitaisha nchini.
 
On the contrary Uwajibikaji is at the core ya matatizo ya nchi yetu - Hatuna utamaduni wa kuwajibika na tunaona wizi / upigaji na ufisadi ndio ujanja; Kwahio moja kabisa Samia na wote waliohusika lazima wawajibike ili tuweke precedence ya Uwajibikaji ili hata kesho yoyote akipotoka na yeye awajibike...

Katiba ni sheria na kama tuna utamaduni wa kuvunja sheria hata ulete sheria gani itavunjwa... (wananchi tumekubali hili na hata sisi ni mafisadi katika level tofauti)

CCM na Vyama vyote (ukizingatia hakuna ideological differences) zote ni platforms za watu kupata Kura kwenda Kula; hivyo sababu Siasa sasa hivi inahitaji Ukwasi itakuwa rahisi sana kwa mtu kuja na kusema hii ni CCM mpya na bado CCM ikaendelea au hata wakiwa wapinzani (wanaweza wakarudi stronger) kutokana na mifumo yao na Ukwasi - The only way wa hii monster kufutika ni kwa kuvunjika vipande vipande na watu kugawana mbao - apart from that itaendelea kuwepo in other forms....

Kuna watu wanasema KANU ilikufa hawajiulizi ilikufaje na kama ilikuwa na mtaji (assets kama CCM) mtaji wa KANU ilikuwa watu ambao Moi kwa kutaka kumuweka Kenyatta wakaondoka en-masse kuunda vyama pinzani....

Na kabla ya hapo watu walishataka kitu kipya na kumchoka Moi ingawa Upinzani wangeweza kushinda ili walitumia pesa na kuwagawa vyama vingine kwa ukabila na Propaganda za nguvu - on the fore-front ya kampeni hizo alikuwepo pamoja na Ruto ambaye walifanya Moi akashinda tena... Naam ndio huyu huyu Ruto wa leo ambaye leo yupo UDA waliojiunga na ODM na sasa anataka kujiunga na Moi Junior kuona ni vipi watapata Kura kwenda Kula - Mvinyo ule ule kwenye Chupa tofauti...

Narudia tena tupiganie uwajibikaji na uwazi ili kesho akija yoyote yule abanwe kwa kuwajibika - na hilo lianzie kwenye tabia zetu kama jamii - Katiba haiwezi kuponya tabia mbovu za jamii (kuona upigaji ni sifa na kwamba uongozi ni sehemu ya kujineemesha)
 
Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya.

Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure.

Mabadiliko yanayopigiwa kelele na maandamano na mbinu zote za haki zinazo buniwa ni lazima ziing'oe CCM madarakani sio kinyume na hapo.

CCM ikifanya uhuni wa kumtoa mbuzi wa kafara Samia kwa faida ya chama chao kamwe tusikubali huu uhuni njia pekee ni serikali ya CCM kung'olewa madarakani hakuna option nyingine bora tofauti na hii katika kutibu utitiri wa shida hapa nchini.

D9

Mti unapoanguka unaenda chini na matawi yake kijana, na hata vikibaki vipande au machipukizi yake yanakua mapya kabisa! Akianguka watakaobaki watakua na heshima sana na wataikana sisiemu sana tu trust me. Utakuwa mwanzo mpya kbs na ya kale yatafutika!

Futa huu ujinga.

Alikufa Magufuli Samia kaingia na usanii wa kuisafisha CCM ya Magufuli dhidi ya maovu yake japo naye alikuwa katika hiyo hiyo CCM ila naye kageuka monster kuliko huyo Magufuli.

Bila CCM kuanguka yote jua hakuna jipya na la maana lililo fanyika.

Mbona scenario tofauti kabisa? Jielimishe kwanza utajua maana yake! Magufuli alichomoka peke yake na lichama halikutikisika hata chembe kimsingi alikuwa threat na walimtoa asitingishe chama lao, hii ya mama yao itakula mfumo mzima, kuanzia mama, watoto, mkwe, machawa, mshauri mkuu wa msoga na familia yake, wakuu wa vyombo na wadogo zao wote! Hili anguko haliwezi kuacha chembe ya ugiligili salama na itakuwa mwisho wa dharau, na kiburi na mwanzo wa kuheshimiana na kuheshimisha damu za vijana zilizomwagika na kuweka signature ndani ya nchi!

Yani apelekwe ICC na chawa wake kutabaki na huo mfumo dola tena? Uhuru na Ruto baada ya ile beeping kuna mfumo Kanu ulibaki tena? Hebu tazama issue kwa muktadha wake kamili mkuu

Sahihi kabisa...

Kuna chama cha siasa ni kama muhimili wa 4 wa hii nchi, tatizo ndio limeanzia hapo.

Hivi sasa CCM inamiliki mihimili yote ya dola na serikali. Inaamrisha mambo ya kufanyika ndani ya bunge, mahakama, majeshi yote, tume ya uchaguzi na taasisi zote za dola za udhibiti na uwezeshaji.

Samia na genge lake sio kundi pekee linalomiliki na kutaka kuendelea kumiliki mfumo huo kupitia CCM. Wako wengi tu (bara na visiwani) wanaosubiri kwa hamu sana Samia aanguke au aondoke ili wao wajimilikishe CCM na vyote inavyomiliki. Tena wengine wana roho mbaya zaidi na ni waovu kweli kweli.

Kuondoka kwa Samia na genge lake pekee hakutoi guarantee kwamba CCM itasambaratika na kupokwa umiliki wa dola kama ilivyokuwa kwa KANU. Hivyo CCM ikibaki kama ilivyo, itapata warithi na mchezo wa Rais kuwa na nguvu za ki-mungu (imperial presidency) utaendelea kama kawa. Na vilio havitaisha nchini.

Wahuni wameshaandaa mazingira ya kwamba CCM ikifa, wao, mitoto yao na vibaraka wao wapate pa kukimbilia. Hivi "vyama chawa" kama ACT na sasa CHAUMMA vimewekwa viwe "soft landing" ya mitoto yao.

Wameangalia Kenya kuwa pamoja na KANU kufa long time ago, ila baadae Uhuru Kenyatta alitengenezewa mazingira ya kuja kuwa Rais kupitia vyama vingine.

Msishangae CCM ikafa ila baadae Ridhiwani Kikwete akaja kuwa Rais wenu kupitia ushirikiano wa CHAUMMA na ACT-Wazalendo. Hakuna kitu Kikwete anatamani kama kuja kushuhudia mtoto wake akiwa Rais wakati yeye bado yupo hai. Ndiyo maana wanafanya juhudi zote waiue na waifute CHADEMA ili isiwe part of the equation.

Kama ambavyo nyie mnaangalia kesho inavyotakiwa kuwa, na wao wamekaa wanatafakari kesho yao.
 
Ni kupambana CCM iondoshwe bila hivyo mambo yatazidi kuwa bado magumu sana.
 
Tunataka mfumo huru wa haki ulio wazi bila magumashi, CCM wanatupiga mbele ya macho yetu hawataki mtu yoyote aongee ukweli kuwahusu. Huu ni ukoloni
 
Back
Top Bottom