Futa huu ujinga.Mti unapoanguka unaenda chini na matawi yake kijana, na hata vikibaki vipande au machipukizi yake yanakua mapya kabisa! Akianguka watakaobaki watakua na heshima sana na wataikana sisiemu sana tu trust me. Utakuwa mwanzo mpya kbs na ya kale yatafutika!
Futa huu ujinga.
Alikufa Magufuli Samia kaingia na usanii wa kuisafisha CCM ya Magufuli dhidi ya maovu yake japo naye alikuwa katika hiyo hiyo CCM ila naye kageuka monster kuliko huyo Magufuli.
Bila CCM kuanguka yote jua hakuna jipya na la maana lililo fanyika.
Excellent. Kiuhalisia, mabadiliko ya kweli yatatokea pale tu dhana nzima ya chama dola (state party) itakapofutiliwa mbali. Bila hivyo, hakuna cha maana kitakachokuwa kimefanyika. Samia na madhalimu wengine wote waliotokea huko nyuma ni matokeo tu (consequences).Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya.
Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure.
Mabadiliko yanayopigiwa kelele na maandamano na mbinu zote za haki zinazo buniwa ni lazima ziing'oe CCM madarakani sio kinyume na hapo.
CCM ikifanya uhuni wa kumtoa mbuzi wa kafara Samia kwa faida ya chama chao kamwe tusikubali huu uhuni njia pekee ni serikali ya CCM kung'olewa madarakani hakuna option nyingine bora tofauti na hii katika kutibu utitiri wa shida hapa nchini.
D9
Excellent. Kiuhalisia, mabadiliko ya kweli yatatokea pale tu dhana nzima ya chama dola (state party) itakapofutiliwa mbali. Bila hivyo, hakuna cha maana kitakachokuwa kimefanyika. Samia na madhalimu wengine wote waliotokea huko nyuma ni matokeo tu (consequences).
Wahenga walisema vyema sana: angalia ulipojikwaa; usisumbuke sana na ulipoangukia.
Shida ya Nchi hii sio samia, Ni wazee wote walioko serikalini na walioko Nyumbani
Sahihi kabisa...Excellent. Kiuhalisia, mabadiliko ya kweli yatatokea pale tu dhana nzima ya chama dola (state party) itakapofutiliwa mbali. Bila hivyo, hakuna cha maana kitakachokuwa kimefanyika. Samia na madhalimu wengine wote waliotokea huko nyuma ni matokeo tu (consequences).
Wahenga walisema vyema sana: angalia ulipojikwaa; usisumbuke sana na ulipoangukia.
Hivi sasa CCM inamiliki mihimili yote ya dola na serikali. Inaamrisha mambo ya kufanyika ndani ya bunge, mahakama, majeshi yote, tume ya uchaguzi na taasisi zote za dola za udhibiti na uwezeshaji.Yani apelekwe ICC na chawa wake kutabaki na huo mfumo dola tena? Uhuru na Ruto baada ya ile beeping kuna mfumo Kanu ulibaki tena? Hebu tazama issue kwa muktadha wake kamili mkuu
Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya.
Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure.
Mabadiliko yanayopigiwa kelele na maandamano na mbinu zote za haki zinazo buniwa ni lazima ziing'oe CCM madarakani sio kinyume na hapo.
CCM ikifanya uhuni wa kumtoa mbuzi wa kafara Samia kwa faida ya chama chao kamwe tusikubali huu uhuni njia pekee ni serikali ya CCM kung'olewa madarakani hakuna option nyingine bora tofauti na hii katika kutibu utitiri wa shida hapa nchini.
D9
Mti unapoanguka unaenda chini na matawi yake kijana, na hata vikibaki vipande au machipukizi yake yanakua mapya kabisa! Akianguka watakaobaki watakua na heshima sana na wataikana sisiemu sana tu trust me. Utakuwa mwanzo mpya kbs na ya kale yatafutika!
Futa huu ujinga.
Alikufa Magufuli Samia kaingia na usanii wa kuisafisha CCM ya Magufuli dhidi ya maovu yake japo naye alikuwa katika hiyo hiyo CCM ila naye kageuka monster kuliko huyo Magufuli.
Bila CCM kuanguka yote jua hakuna jipya na la maana lililo fanyika.
Mbona scenario tofauti kabisa? Jielimishe kwanza utajua maana yake! Magufuli alichomoka peke yake na lichama halikutikisika hata chembe kimsingi alikuwa threat na walimtoa asitingishe chama lao, hii ya mama yao itakula mfumo mzima, kuanzia mama, watoto, mkwe, machawa, mshauri mkuu wa msoga na familia yake, wakuu wa vyombo na wadogo zao wote! Hili anguko haliwezi kuacha chembe ya ugiligili salama na itakuwa mwisho wa dharau, na kiburi na mwanzo wa kuheshimiana na kuheshimisha damu za vijana zilizomwagika na kuweka signature ndani ya nchi!
Yani apelekwe ICC na chawa wake kutabaki na huo mfumo dola tena? Uhuru na Ruto baada ya ile beeping kuna mfumo Kanu ulibaki tena? Hebu tazama issue kwa muktadha wake kamili mkuu
Sahihi kabisa...
Kuna chama cha siasa ni kama muhimili wa 4 wa hii nchi, tatizo ndio limeanzia hapo.
Hivi sasa CCM inamiliki mihimili yote ya dola na serikali. Inaamrisha mambo ya kufanyika ndani ya bunge, mahakama, majeshi yote, tume ya uchaguzi na taasisi zote za dola za udhibiti na uwezeshaji.
Samia na genge lake sio kundi pekee linalomiliki na kutaka kuendelea kumiliki mfumo huo kupitia CCM. Wako wengi tu (bara na visiwani) wanaosubiri kwa hamu sana Samia aanguke au aondoke ili wao wajimilikishe CCM na vyote inavyomiliki. Tena wengine wana roho mbaya zaidi na ni waovu kweli kweli.
Kuondoka kwa Samia na genge lake pekee hakutoi guarantee kwamba CCM itasambaratika na kupokwa umiliki wa dola kama ilivyokuwa kwa KANU. Hivyo CCM ikibaki kama ilivyo, itapata warithi na mchezo wa Rais kuwa na nguvu za ki-mungu (imperial presidency) utaendelea kama kawa. Na vilio havitaisha nchini.