Matatizo imekuwa nyimbo pendwa kipindi hiki cha awamu ya 5

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Nyimbo ya harmonize matatizo naona imegusa maisha yaliyopo kwa sasa mtaani hii nyimbo,kiukweli haiwezi kuchuja imekuw nyimbo pendwa nashauri wasanii wa wcb waanze kuimba nyimbo za ujumbe mana nyimbo za mapenzi zinahit wiki tu ona kidogo na salome zimehit wiki mbili wasanii wasio na kiki ndo kabisa wanawakati mgumu
Kama mziki wa bongo utaendelea hivi wasanii wote kila siku wanang 'ania vishow vya fiesta bongofleva inaweza ikafa
Wasanii wanaoinvest kwenye kazi zao ni wachache
Mtaani kila mtu ni msanii sasa inakoelekea sasa sijui nani asikilize kazi ya mwenzake
 
Back
Top Bottom