Matatizo kwenye sekta ya elimu ya juu na elimu nyingine yanasababishwa na nanini?

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni
 
Actually matatizo yanasababisha na mfumo na mchakato mzima wa uongozi na utawala,ucmamizi,uendeshaji na utekelezaji wa masuala mbalimbali ya elimu na hata nyanja zote kwa ujumla...cha kufanyaaa ni kuutazama mfumo kwa jicho latu
Ifike pahala tuweke mbali ushabiki,utashi wa kisiasa,udugu na ushikaji katika masuala ya msingi kama haya...but realy needs committments
 
Ahsante sana mkuu
 
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni

hii mada ni ngumu kupata wachangiaji wengi kwa jinsi ulivyoiweka, ingekuwa bora walau ungejaribu kuyaaiisha hayo mapungufu na matatizo ili watu wapate pa kuanzia na hata kuongezea na watatoaa solution, but this is very general. japo umejibiwa kwa ujumla pia, but how?
 
ndugu yangu maswala yote haya yanasababishwa na mfumo wa kiutawala
. urasimu mwingi sana kuwa na watendaji wabovu mfano mimi kuna kipindi nilikuwa nafatilia mkopo pale HESLB yani unamuuliza secretary anakujibu utadhani ile ofisi ni yake. ili kuondoa mambo yote haya ni lazima mfumo wa kiutawala ubadilishwe.
 
hii mada ni ngumu kupata wachangiaji wengi kwa jinsi ulivyoiweka, ingekuwa bora walau ungejaribu kuyaaiisha hayo mapungufu na matatizo ili watu wapate pa kuanzia na hata kuongezea na watatoaa solution, but this is very general. japo umejibiwa kwa ujumla pia, but how?

Mkuu mshinga matatizo kama ufaulu mdogo,upungufu wa walimu wa sayansi,vifaa na maabara n.k
 
NIKIWA NA FREE MINDS NITAJARIBU KUFANYA ANALYSIS PANA, lakini hapa inabidi kujielekeza kwenye eneo moja vingnevyo ucahmbuzi wangu hautasomwa kwa kuwa utakuwa mrefu sana kama utajumuisha mambo mengi kwa kuwa maandishi mengi yanatia uvivu kusoma kwa wengi, kichwa kimechoshwa na rasimu ya katiba kwa sasa
 
Back
Top Bottom