Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually matatizo yanasababisha na mfumo na mchakato mzima wa uongozi na utawala,ucmamizi,uendeshaji na utekelezaji wa masuala mbalimbali ya elimu na hata nyanja zote kwa ujumla...cha kufanyaaa ni kuutazama mfumo kwa jicho latu
Ifike pahala tuweke mbali ushabiki,utashi wa kisiasa,udugu na ushikaji katika masuala ya msingi kama haya...but realy needs committments
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni
hii mada ni ngumu kupata wachangiaji wengi kwa jinsi ulivyoiweka, ingekuwa bora walau ungejaribu kuyaaiisha hayo mapungufu na matatizo ili watu wapate pa kuanzia na hata kuongezea na watatoaa solution, but this is very general. japo umejibiwa kwa ujumla pia, but how?
Mkuu mshinga matatizo kama ufaulu mdogo,upungufu wa walimu wa sayansi,vifaa na maabara n.k