Wamba de Wamba
Member
- Sep 2, 2013
- 16
- 2
Ni siku chache zimepita niliandika mada tajwa hapo juu. Nafsi imebidi nianze pole pole kuleta yaliyo bayana. Kwa leo naleta mambo kumi na tatu tu na kwa ufupi.
1. shule hii haina BODI YA SHULE.
2.shule hii haina SMT
3 shule hii haina muondo wa uongozi na hao waliopo ni vijisamaki ndani ya nyangumi mtu.
4. miundo mbinu mibovu kupindukia
5 Hakuna uhuru wa kuabudu
6. Taaluma hoi.
7. Mahusiano kati ya walimu na mkuu wa shule ni lowest to the absolute zero.
8. Mahusiano kati ya wanafunzi na walimu ni mabovu sababu ya uongozi.
9. shule haina zamu kwa walimu
10.shule haina school routine
11. OFISI YA MKUU WA SHULE HUKAA NA SILAHA ZA JADI ZA KUJIHAMI MKUU WA SHULE. ( EXTRAORDINARY SERIUOS).
12 Mkuu wa shule kuwa na tabia za kifalme (mfano, kuoa oa hata wanafunzi wake). (UKWELI HAKIKA).
13. Mahusiano na wananzengo ni mabovu.
Leo nakomea hapa ili wana jf mupate kuyajua haya na baadaye pia nitaleta mengi kadha wa kadha tena in documentation. Naomba kuwasilisha.