Matatizo makubwa-shule ya sekondari chemuchemu wilaya ya iramba

Joined
Sep 2, 2013
Posts
16
Reaction score
2
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Dr.Shukuru Kawambwa., Mheshimiwa Waziri, ofisi ya waziri mkuu Tamisemi anayeshughulikia elimu,Kassim Majaliwa., Mheshimiwa waziri wa wizara ya maendeleo, jinsia na watoto., Mheshimiwa waziri, ofisi ya Rais utawala bora.Kwa hakika, naamini fika kila niliyemtaja hapo, anatambua majukumu yake. Kutokana na matatizo makubwa yaliyopo katika shule hii na ambayo kila niliyemtaja hapo juu yanagusa wizara yake naomba niseme hivi, ebu jambo hili lichukulieni uzito kwa kila mmoja wenu kufika eneo tajwa kujionea matatizo yaliyopo. Wanakijiji, watoto na watumishi ndiyo wahanga wa matatizo katika shule hii. Taarifa za matatizo haya zilishafikishwa hata halmashauri lakini , inaonesha halmashauri kutokutilia maanani kutokana na kile kilichozoeleka yaani mambo ya kishikaji. Watanzania wenzangu, siko hapa kumuchafua mtu ila nasema kile nilichonacho uhakika kwa lengo la kusaidia hususani hawa watoto wetu waweze kupata elimu bora iliyojengwa katika maadili bora.Naamini ufatiaji juu ya kubaini matatizo haya utafanyika. Na mimi sipendi kushoboka kwa leo matatizo haya mpaka pale wenye dhamana ya kufuatilia watakaposhindwa nitayaleta hapa hapa hadharani na nitaomba wanaharakati wa haki za binadamu wanilinde.
 
hahahaha upo kwenye joto?? ngoja wenyewe waje nimeishia kucheka tu maana inaonesha wewe ulie post hii unachekesha hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
shule miondombinu haifai.headmaster mwenyewe muhuni kupindukia.kwanini usiriport swala hili kwenye ofisi husika.tangu mwaka jana hakuna alie fauru kuendelea na masomo.ni dondo tu nakupatia hakuna shule tena pale ufuska wa mapenz umetawala.
 
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Dr.Shukuru Kawambwa., Mheshimiwa Waziri, ofisi ya waziri mkuu Tamisemi anayeshughulikia elimu,Kassim Majaliwa., Mheshimiwa waziri wa wizara ya maendeleo, jinsia na watoto., Mheshimiwa waziri, ofisi ya Rais utawala bora.Kwa hakika, naamini fika kila niliyemtaja hapo, anatambua majukumu yake. Kutokana na matatizo makubwa yaliyopo katika shule hii na ambayo kila niliyemtaja hapo juu yanagusa wizara yake naomba niseme hivi, ebu jambo hili lichukulieni uzito kwa kila mmoja wenu kufika eneo tajwa kujionea matatizo yaliyopo. Wanakijiji, watoto na watumishi ndiyo wahanga wa matatizo katika shule hii. Taarifa za matatizo haya zilishafikishwa hata halmashauri lakini , inaonesha halmashauri kutokutilia maanani kutokana na kile kilichozoeleka yaani mambo ya kishikaji. Watanzania wenzangu, siko hapa kumuchafua mtu ila nasema kile nilichonacho uhakika kwa lengo la kusaidia hususani hawa watoto wetu waweze kupata elimu bora iliyojengwa katika maadili bora.Naamini ufatiaji juu ya kubaini matatizo haya utafanyika. Na mimi sipendi kushoboka kwa leo matatizo haya mpaka pale wenye dhamana ya kufuatilia watakaposhindwa nitayaleta hapa hapa hadharani na nitaomba wanaharakati wa haki za binadamu wanilinde.
  • Hili ni tatizo la halmashauri nyingi.
  • Kuna haja za kufumua na kusuka upya muundo wa utendaji kazi wa hizi halmashauri.
  • Watanzania kwa pamoja tukipaza sauti kwa pamoja huwenda tukawa tumewasaidia hawa watoto ambao ndio taifa la kesho.
 
Iramba yote tu ina matatizo makubwa kielimu. Shule zote wilayani iramba hupati div 1 hata 2. Anayekuwa amefaulu ni mwenye three na four ila watu tmezoea kuchuliana poa poa.
Watoto badala ya kusoma wanaenda kujifunza ufuska.
 
Ni siku chache zimepita niliandika mada tajwa hapo juu. Nafsi imebidi nianze pole pole kuleta yaliyo bayana. Kwa leo naleta mambo kumi na tatu tu na kwa ufupi.
1. shule hii haina BODI YA SHULE.
2.shule hii haina SMT
3 shule hii haina muondo wa uongozi na hao waliopo ni vijisamaki ndani ya nyangumi mtu.
4. miundo mbinu mibovu kupindukia
5 Hakuna uhuru wa kuabudu.
6. Taaluma hoi.
7. Mahusiano kati ya walimu na mkuu wa shule ni lowest to the absolute zero.
8. Mahisiano kati ya wanafunzi na walimu ni mabovu sababu ya uongozi.
9. shule haina zamu kwa walimu
10.shule haina school routine
11. OFISI YA MKUU WA SHULE HUKAA NA SILAHA ZA JADI ZA KIJIHAMI MKUU WA SHULE. ( EXTRAORDNARY SERIUOS).
12 Mkuu wa shule kuwa na tabia za kifalme (mfano, kuoa oa hata wanafunzi wake). (UKWELI HAKIKA).
13. Mahusiano na wananzengo ni mabovu.
Leo nakomea hapa ili wana jf mupate kuyajua haya na baadaye pia nitaleta mengi kadha wa kadha tena in documentation. Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom