Matatizo mazoezini

Matatizo mazoezini

king ugo

Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Wadau ebu nisaidieni, nilikua nimesi mama mazoezi kama wiki tatu hivi kwakua nilikua naumwa sa leo nimeaza kukimbia kama kilometa tatu hv naona mapaja na miguu vina washa niki simama kidogo yana turia nikikimbia hivyo hivyo tena. Ebu naomba nisaidieni ma docta.
 
Kwa kuwa uliacha kwa muda mrefu,ungeanza na mazoezi mepesi zaidi.
Km kuruka kamba,push.up ili kurudisha pumzi
.......
Hapo ni kwa upeo wangu,kwa kuwa hata mimi ni mwanamazoez ila kuna siku namiss pia
 
Anza taratibu kutegemea fitness uliyokua nayo kabla ya kusimama mazoezi
 
Back
Top Bottom