Wadau ebu nisaidieni, nilikua nimesi mama mazoezi kama wiki tatu hivi kwakua nilikua naumwa sa leo nimeaza kukimbia kama kilometa tatu hv naona mapaja na miguu vina washa niki simama kidogo yana turia nikikimbia hivyo hivyo tena. Ebu naomba nisaidieni ma docta.
Kwa kuwa uliacha kwa muda mrefu,ungeanza na mazoezi mepesi zaidi.
Km kuruka kamba,push.up ili kurudisha pumzi
.......
Hapo ni kwa upeo wangu,kwa kuwa hata mimi ni mwanamazoez ila kuna siku namiss pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.