Kuna matatizo kadhaa!
1,Drastic changes -kutoka secondary na kuingia Chuo ambako haubanwi na mtu yeyote..hili hua linawasumbua sana baadhi ya vijana.Wanashindwa kabisa kupanga vipaumbele.
2,Malazi...haswa wale wa UDSM,IFM na kwingineko...if you are not careful hili tu linaweza kukufelisha.
3,Migomo....wakati mwingine hata mwaka wa masomo unaweza kuahirishwa kwa sababu hizi.
4,Wizi...be careful wizi upo sana tu vyuoni...especially nguo,simu na laptops!
5,Uchaguzi wa kozi...wakati mwingine wanafunzi wanachagua kozi kwa kufuata mkumbo tu..wakifika na kuanza kozi wanakuta masomo yenyewe hawayamudu....kubadili kozi napo kwa baadhi ya vyuo sii kazi rahisi.