Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Habari zenu wana jukwaa.!
natumaini kila mmoja kwa sasa anashauku ya kwenda chuo na kuripoti na kuanza masomo
kwa kutumia fursa hii ningependa tuyajadili matatizo mbalimbali yanayowakumba wanafunzi katika vyuo vyote tokea kipindi wanaripoti mpaka wanapohitimisha masomo yao.!
nawasilisha