Matatizo na changamoto za maisha



Pole ndugu yangu.. Mungu yupo anaona na kusikia usijali omba kwa bidii na kazi ufanye
 
hahahaha nimecheka mpaka nimesahau matatizo yaliyonkuta khaaaaa...hmu kuna balaaa mazee
 
20k per day hahaha utangoja sana aisee kama hauna strategies za kutafta mtaji wa kutengeneza hizo 20k

Hahaha 2pe basi strategies maana ulivyonicheka nahis utakua boss kitengo fulani
 
Unapoana ktk maisha yako unakabiliwa na changamoto ambazo wewe binafsi unaonakuwa ndio kikwazo cha kufika ktk mafanikio basijua kua umepiga atua fulani ktk maisha hivyo jitahidi kupiga atuanyingine za kutengeneza mbinu za kutatua changamoto zinazokukabili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I don't care..ilo ndio tatizo langu

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Changamoto ambayo sita sahau ni ya mahusiano...nilitokea kumpenda mrembo mmoja na tulikaa kwenye huo uhusiana 4yrs,alikutana na changamoto nyingi kwenye elimu yake kwa miaka 2,nilisimama pamoja naye na kumsaidia kila kitu...miezi michache kabla ya ndoa akagoma kwamba hayuko tayari mpk pale atakapojipanga kwa upya...nikaona isiwe tabu ni heri niendelee na maisha yangu...binti ambaye yuko serious na maisha huwa si kigeugea maana hiyo ndoa tulipanga mimi na yeye takribani mwaka mzima....nilijifunza kuwa unaweza panga mengi mema na mtu kumbe mwenzako yuko mwelekeo mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini wanawake wengi wanaosoma wapo hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…